Tuseme tuache, tisa kumi Gwajima amegusa pabaya

Tuseme tuache, tisa kumi Gwajima amegusa pabaya

Wakilenga itakua ni sawa na kuvua kyupi kati kati ya mnada wata confirm kwa uwazi wauaji ni wa nani
 
Huyo sio mdude mkuu!!Hilo ni jipu la kwenye kinena !!

Unajua waliomtuma!!?TEC tangu wajeruhiwe mwenzao wametoa tamko!!?what if wameamua kumtumia Gwajima!!?

Mbona Gwajima ana confidence ya kipekee unafikiri kakurupuka!!?hayati chuma alijaribu mwisho was siku akapiga yowe hadharani "NILETEEENI GWAAAAJIMAAAAA"!!!

Na Sasa yupo kamati kuu ya cc ya CCM!!

KAZI KWAKO!

NAWAZA!!
 
Back
Top Bottom