Tuseme tuache, tisa kumi Gwajima amegusa pabaya

Tuseme tuache, tisa kumi Gwajima amegusa pabaya

Huyo sio mdude mkuu!!Hilo ni jipu la kwenye kinena !!

Unajua waliomtuma!!?TEC tangu wajeruhiwe mwenzao wametoa tamko!!?what if wameamua kumtumia Gwajima!!?

Mbona Gwajima ana confidence ya kipekee unafikiri kakurupuka!!?hayati chuma alijaribu mwisho was siku akapiga yowe hadharani "NILETEEENI GWAAAAJIMAAAAA"!!!

Na Sasa yupo kamati kuu ya cc ya CCM!!

KAZI KWAKO!

NAWAZA!!
Sawa kabisa mkuu Mimi gwajima nimemfahamu muda mrefu uyo uwa sio wa kukurupuka ni mtu makini sana jambo ambalo wengi awajui , "Tanzania ni yetu sote utekaji aukubaliki katika nchi"💯
 
Si kweli. Wakuu wa vyombo vya usalama wasingenufaika na kufurahia, wangezuia mara moja. Hakuna jambo gumu kwao wala aliye na uwezo wa kuwazuia wakiamua. Wanamjua Gwajima kama mchumia tumbo na mdandizi kiimani na kisiasa.
Endelea kujidanganya.
 
Back
Top Bottom