Alex24hrs
Senior Member
- Apr 19, 2024
- 158
- 242
Huo ni msimamo wakeKatumwa na Baraza la Maasikofu Tz.
Ni haramu!Chamsingi ubeti kwa kutumia Sportpesa sawa?
Huo ni msimamo wakeKatumwa na Baraza la Maasikofu Tz.
Ni haramu!Chamsingi ubeti kwa kutumia Sportpesa sawa?
Kwa haya yanayoendelea,wanaweza kufukiwa na matukio wasisikike tena,tutawakuta kwenye viwanda vya wachina wakiomba kazi kwa taaluma zao.Hivi wale G55 wapo huko mtaani? 😀
Hapa anakusudia watoto wadgo wadogo
😀😀hii ipo sanaKuna mambo huwa nayachukia hasa makazini,mtu unajitoa mhanga kuhoji kuhusu haki zenu kwa boss,waoga wanatamani kuingia uvunguni mwa meza,lakini haki unayoidai ikitoka wanakuwa mstari wa mbele kukinga mikono kupokea😡
Wamejificha wanaona aibu wanafuatilia Tu nyomi kwenye mikutano ya chademaHivi wale G55 wapo huko mtaani? 😀
Hapa anakusudia watoto wadgo wadogo
Watakuwa wanalaumiana hukoWamejificha wanaona aibu wanafuatilia Tu nyomi kwenye mikutano ya chadema
Kwanza lawama zote Kwa Joni na kigailaWatakuwa wanalaumiana huko
Wameshapotezwa na GwajimanizationHivi wale G55 wapo huko mtaani? 😀
Phase Two ni moshi mweusi uliochanganyika na pilipili kichaa, hakuna wa kuhimili mapigo.Na kasema hiii ni phase one bado phase two
Kumaninazao wanakata kishenziKuna mambo huwa nayachukia hasa makazini,mtu unajitoa mhanga kuhoji kuhusu haki zenu kwa boss,waoga wanatamani kuingia uvunguni mwa meza,lakini haki unayoidai ikitoka wanakuwa mstari wa mbele kukinga mikono kupokea😡
Tayari mkuu umesharuka na hili jina dah! Nimecheka sana!Sawa ila msiache kubet sawa?
Uko sahihi niliwahi zungumzia kazini kudai per diem ni ndogo kwa Mkurugenzi wa kampuni flani, jamaa wa Branch yangu,waliniona wa ovyo nikatumiwa email nieleze ndogo kivipi?;Nikaichambua na huku wafanyakazi wenzangu wakisema ,jamaa katafuta balaa huyu!Wakawa wananinyanyapaa!Ikapita na kuongeza kutoka 50,000 hadi 80,000(2010mwaka).Jamaa wakageuka ni kuniita mkombozi! Binadamu ni Nyoka sana,ila ni kusimamia unachokiamini bila jazba.Kuna mambo huwa nayachukia hasa makazini,mtu unajitoa mhanga kuhoji kuhusu haki zenu kwa boss,waoga wanatamani kuingia uvunguni mwa meza,lakini haki unayoidai ikitoka wanakuwa mstari wa mbele kukinga mikono kupokea😡
Binadamu si wakuwachokoza!
Muuaji ni kizimkazi jini.Sisi wanaume ukitugusa unyeo kila kitu kitaishia hapo.
Serikali Ina mitandao mingi. Kwa hiyo Ngwaji boy atalengwa tu