Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,780
- 16,928
Kwenye hiyo mitandao wapo wanaochukizwa na yanayofanywa na hiyo serikali!!Serikali Ina mitandao mingi. Kwa hiyo Ngwaji boy atalengwa tu
Kwenye hiyo mitandao wapo wanaochukizwa na yanayofanywa na hiyo serikali!!Serikali Ina mitandao mingi. Kwa hiyo Ngwaji boy atalengwa tu
Kuna watu wakitekwa au kuuwawa mhusika anafahamika moja kwa moja mf; Lissu na Gwajima lolote litalowakuta moja kwa moja ni Rais hivyo hawezi kuwamaliza ila atawapitisha kwenye mazingira magumu kama kumfuta uanachama ili asigombee tena, au kumuondoa kwenye mchujo wa wagombeaSisi wanaume ukitugusa unyeo kila kitu kitaishia hapo.
Serikali Ina mitandao mingi. Kwa hiyo Ngwaji boy atalengwa tu
Sio rahisi kama hivyo unavyodhania. Vyombo vya usalama vitamlinda Gwajima!Tena ni rahisi. Ni kumuuliza alikopata kihalali hizo sifa alizojipachika, utajiri wake na mengine machache tu.
humuwezi hii ni gwaji boy na hafurukutwiSisi wanaume ukitugusa unyeo kila kitu kitaishia hapo.
Serikali Ina mitandao mingi. Kwa hiyo Ngwaji boy atalengwa tu
Si kweli. Wakuu wa vyombo vya usalama wasingenufaika na kufurahia, wangezuia mara moja. Hakuna jambo gumu kwao wala aliye na uwezo wa kuwazuia wakiamua. Wanamjua Gwajima kama mchumia tumbo na mdandizi kiimani na kisiasa.Sio rahisi kama hivyo unavyodhania. Vyombo vya usalama vitamlinda Gwajima!
Wakuu wa usalama hawafurahii Ufisadi unaofanywa na Samia kupitia mkwe wake Mchengerwa na mwanae Abdul!
Hyo uhakikaSawa ila msiache kubet sawa?
Muuaji mkuu na magenge yake yame tomaswa, tuko tayari kwa mapambano usihofu.Sisi wanaume ukitugusa unyeo kila kitu kitaishia hapo.
Serikali Ina mitandao mingi. Kwa hiyo Ngwaji boy atalengwa tu
Mulimshindwa Tundu lissu na mbaya wake akalala chali mpaka leo kimya,subiri life jituSisi wanaume ukitugusa unyeo kila kitu kitaishia hapo.
Serikali Ina mitandao mingi. Kwa hiyo Ngwaji boy atalengwa tu
Asante kwa hiyo tumuache gwajima asimamie anachokiamini,wengine tusubiri amani ya kweli ndani ya tanzania,tutembee bila hofu ya kutekwa.Uko sahihi niliwahi zungumzia kazini kudai per diem ni ndogo kwa Mkurugenzi wa kampuni flani, jamaa wa Branch yangu,waliniona wa ovyo nikatumiwa email nieleze ndogo kivipi?;Nikaichambua na huku wafanyakazi wenzangu wakisema ,jamaa katafuta balaa huyu!Wakawa wananinyanyapaa!Ikapita na kuongeza kutoka 50,000 hadi 80,000(2010mwaka).Jamaa wakageuka ni kuniita mkombozi! Binadamu ni Nyoka sana,ila ni kusimamia unachokiamini bila jazba.
Ngoja tusubiri maana Kuna taarifa zinasambaa mtandaoni kanisa lake limefungwaPhase Two ni moshi mweusi uliochanganyika na pilipili kichaa, hakuna wa kuhimili mapigo.
Hata likifungwa ujumbe wake umefikaa!N
Ngoja tusubiri maana Kuna taarifa zinasambaa mtandaoni kanisa lake limefungwa
Sisi wanaume ukitugusa unyeo kila kitu kitaishia hapo.
Serikali Ina mitandao mingi. Kwa hiyo Ngwaji boy atalengwa tu
Unaongea kama ndio unamiliki Dunia na yaliyomo 😂 😂 😂 😂 😂Hata likifungwa ujumbe wake umefikaa!
Anayemiliki ni Mungu mkuu,Mimi ni Nani unipe mamlaka hayo!Unaongea kama ndio unamiliki Dunia na yaliyomo 😂 😂 😂 😂 😂
Mkuu hawa hawapo anzia enzi za Yesu ,ukiacha enzi za mkoloni,Kuna mambo huwa nayachukia hasa makazini,mtu unajitoa mhanga kuhoji kuhusu haki zenu kwa boss,waoga wanatamani kuingia uvunguni mwa meza,lakini haki unayoidai ikitoka wanakuwa mstari wa mbele kukinga mikono kupokea😡
Sisi wanaume ukitugusa unyeo kila kitu kitaishia hapo.
Serikali Ina mitandao mingi. Kwa hiyo Ngwaji boy atalengwa tu
Hawa wakuu wa vyombo vya usalama wa sasa are compromised sio kama watatu waliondolewa TISS kabla ya huyu wa sasa. Wakina Diwani Athumani waliondolewa kwasababu ya uzalendo wao wa kutetea maslahi ya nchi dhidi ya Ufisadi wa Samia na genge lake!Si kweli. Wakuu wa vyombo vya usalama wasingenufaika na kufurahia, wangezuia mara moja. Hakuna jambo gumu kwao wala aliye na uwezo wa kuwazuia wakiamua. Wanamjua Gwajima kama mchumia tumbo na mdandizi kiimani na kisiasa.
Katufungulia pazia la June
Ndivyo binadamu tulivyo sana sana watanzania shenzi sana bongo kmanina🥺🤬Kuna mambo huwa nayachukia hasa makazini,mtu unajitoa mhanga kuhoji kuhusu haki zenu kwa boss,waoga wanatamani kuingia uvunguni mwa meza,lakini haki unayoidai ikitoka wanakuwa mstari wa mbele kukinga mikono kupokea😡