Tuseme tuache, tisa kumi Gwajima amegusa pabaya

Sisi wanaume ukitugusa unyeo kila kitu kitaishia hapo.

Serikali Ina mitandao mingi. Kwa hiyo Ngwaji boy atalengwa tu
Kuna watu wakitekwa au kuuwawa mhusika anafahamika moja kwa moja mf; Lissu na Gwajima lolote litalowakuta moja kwa moja ni Rais hivyo hawezi kuwamaliza ila atawapitisha kwenye mazingira magumu kama kumfuta uanachama ili asigombee tena, au kumuondoa kwenye mchujo wa wagombea
 
Tena ni rahisi. Ni kumuuliza alikopata kihalali hizo sifa alizojipachika, utajiri wake na mengine machache tu.
Sio rahisi kama hivyo unavyodhania. Vyombo vya usalama vitamlinda Gwajima!
Wakuu wa usalama hawafurahii Ufisadi unaofanywa na Samia kupitia mkwe wake Mchengerwa na mwanae Abdul!
 
Sio rahisi kama hivyo unavyodhania. Vyombo vya usalama vitamlinda Gwajima!
Wakuu wa usalama hawafurahii Ufisadi unaofanywa na Samia kupitia mkwe wake Mchengerwa na mwanae Abdul!
Si kweli. Wakuu wa vyombo vya usalama wasingenufaika na kufurahia, wangezuia mara moja. Hakuna jambo gumu kwao wala aliye na uwezo wa kuwazuia wakiamua. Wanamjua Gwajima kama mchumia tumbo na mdandizi kiimani na kisiasa.
 
Asante kwa hiyo tumuache gwajima asimamie anachokiamini,wengine tusubiri amani ya kweli ndani ya tanzania,tutembee bila hofu ya kutekwa.
 
Sisi wanaume ukitugusa unyeo kila kitu kitaishia hapo.

Serikali Ina mitandao mingi. Kwa hiyo Ngwaji boy atalengwa tu

Na anayelenga naye atalengwa tu. Hii issue haitaki hasira. Sisi waja mambo yetu yanafanana...ni suala la muda tu
 
Kuna mambo huwa nayachukia hasa makazini,mtu unajitoa mhanga kuhoji kuhusu haki zenu kwa boss,waoga wanatamani kuingia uvunguni mwa meza,lakini haki unayoidai ikitoka wanakuwa mstari wa mbele kukinga mikono kupokea😑
Mkuu hawa hawapo anzia enzi za Yesu ,ukiacha enzi za mkoloni,
 
Si kweli. Wakuu wa vyombo vya usalama wasingenufaika na kufurahia, wangezuia mara moja. Hakuna jambo gumu kwao wala aliye na uwezo wa kuwazuia wakiamua. Wanamjua Gwajima kama mchumia tumbo na mdandizi kiimani na kisiasa.
Hawa wakuu wa vyombo vya usalama wa sasa are compromised sio kama watatu waliondolewa TISS kabla ya huyu wa sasa. Wakina Diwani Athumani waliondolewa kwasababu ya uzalendo wao wa kutetea maslahi ya nchi dhidi ya Ufisadi wa Samia na genge lake!
Kufunga kanisa la Askofu Gwajima sio suluhisho la utekaji na mauaji bali ni kufhihilisha kuwa Samia na serikali yake are complicit in these heinous crimes.
 
Kuna mambo huwa nayachukia hasa makazini,mtu unajitoa mhanga kuhoji kuhusu haki zenu kwa boss,waoga wanatamani kuingia uvunguni mwa meza,lakini haki unayoidai ikitoka wanakuwa mstari wa mbele kukinga mikono kupokea😑
Ndivyo binadamu tulivyo sana sana watanzania shenzi sana bongo kmaninaπŸ₯ΊπŸ€¬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…