Tuseme tuache, tisa kumi Gwajima amegusa pabaya

Sawa kabisa mkuu Mimi gwajima nimemfahamu muda mrefu uyo uwa sio wa kukurupuka ni mtu makini sana jambo ambalo wengi awajui , "Tanzania ni yetu sote utekaji aukubaliki katika nchi"💯
 
Si kweli. Wakuu wa vyombo vya usalama wasingenufaika na kufurahia, wangezuia mara moja. Hakuna jambo gumu kwao wala aliye na uwezo wa kuwazuia wakiamua. Wanamjua Gwajima kama mchumia tumbo na mdandizi kiimani na kisiasa.
Endelea kujidanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…