PreGE2025 Tuseme ukweli: CHADEMA msithubutu kugomea uchaguzi maana hata Ulaya na Marekani sasa hivi wana matatizo yao kiuchaguzi na hakuna wa kuwaogopa tena

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mbuzi mee

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
238
Reaction score
324
Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...

Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..

Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao

Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI

Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada

Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
 
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo YAO kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada

Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Sisi tunachohitaji ni uwanja sawa wa kuchagua na kuchaguliwa wala hatuangalii huko nje kuna nini NO REFORMS NO ELECTION.
 
Kinachowapata wapalestina licha ya kuwa wanatafuta haki YAO ndio kitakachowapata na nyie watu watabaki kuangalia TU.....ushauri wangu mlitakiwa mpigane kiakili sana angalau hata muungize wabunge 10 wenye akili wakiwashe turudi Bunge la 2010....katika wabunge hao hakikisheni Kila kituo cha majimbo YAO mnaweka mawakala...vituo visivyo na mawakala ndio mnapopigwa sema Huwa mnajizima data TU...

Sasa hivi Kila kiongozi anajifanya Netanyau acheki na wowote na HAKUNA WA kumfanya lolote....hii ni hatari
 
Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...

Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKACCMNI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..

Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao

Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI

Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada

Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Kwa hiyo tushiriki kwa hizi sheria zilizopo halafu CCM waibe kura watu wauawe,wengine wapate Vilema mwisho wa siku tupate mbunge mmoja?
Maana kuna mgombe ndani ya wagombea yeye ndiye anayeteuwa wasimamizi na hata mapolisi wako chini yake atakachowaambia inabidi kumtii, hivi ni kweli?
 
Kinachowapata wapalestina licha ya kuwa wanatafuta haki YAO ndio kitakachowapata na nyie watu watabaki kuangalia TU.....ushauri wangu mlitakiwa mpigane kiakili sana angalau hata muungize wabunge 10 wenye akili wakiwashe turudi Bunge la 2010....katika wabunge hao hakikisheni Kila kituo cha majimbo YAO mnaweka mawakala...vituo visivyo na mawakala ndio mnapopigwa sema Huwa mnajizima data TU...
Kwa kilichotokea 2019,2020 na 2024 bado unategemea wabunge na madiwani toka Chadema? Usiwe unatuona hatuna akili kuweka msimamo wa kutaka mabadiliko ya mifumo na sheria za uchaguzi. Ikiwa waliua wagombea wa vitongoji ndiyo wakupe wabunge? Ni utaahira kufanya jambo lile lile kwa njia ile ile na kutegemea matokeo tofauti. Au mwenzetu wewe uko ughaibuni hujui kilichotokea 2019,2020 na 2024?
 
Ingieni mtaani basi wazungu waone mnafanya kazi....ndo maana wanasitisha misaada maana wanaona pesa zenyewe zinaenda kwa ma keyboard warriors, wanashindwa kufanya kazi waliyotumwa.....kuua sahivi aaah kikubwa SAMIA HADI 2030
Ingia wewe sisi tumechagua njia ya kuzuia uchaguzi.
 
Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...

Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..

Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao

Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI

Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada

Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Kwani wanasusa ili huko duniani somebody akee?

Lini walishawahi kucare?

Akina Museven na Kagame wanadunda tu kuna mtu anacare?

Kama ulidhani wanataka kususia uchaguzi so that somebody may care you were misinformed.
 
Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...

Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..

Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao

Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI

Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada

Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Usije ukiji fananisha kisiasa na marekani, hata waanguke vipi, hawewez fikia level ya tz .
Hao wako ligi nyingine kabisa, tafuta wa ligi yako
 
Hivi nini usichokielewa?Ni kuzuia uchaguzi sio kususa,Yaani mpaka Lissu kawekwa ndani hukujua anapigania nini?
Mlichokosa ni subira silaha ambazo mngizutumia UCHAGUZI nyie mmeanza nazo mapema.... Huku mkijua ccm na ccp ni dugu Moja....mngeamua kipi kitangulie.....na mnakijua ni angalau muungize wabunge 10 wenye akili timamu...Hawa wangesaidia kuamsha akili za WA Tanzania.....mmejiuliza kwanini watu Sasa hivi hata hawajui km Kuna Bunge...?
 
Back
Top Bottom