Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,831
- 4,348
Sa mtamwambiaje mzunguSisi hatushiriki huo upuuzi

Wanaona aibu tupu😁😁😁😁 Uzuri ni kwamba hata nyie ccm mnaamini bila Chadema uchaguzi hauwezekani
Pampas kavaa mumeo ***** mbovu weweDetector za ubeligiji ndo zimekupa hayo majibu? Au ndo maana mnashindwa kuingia uwanjani kukitimua mnaishia kwenye keyboard maana huwezi andamana huku umevaa pampers
Wabunge 10 kwa tume ipi??Kinachowapata wapalestina licha ya kuwa wanatafuta haki YAO ndio kitakachowapata na nyie watu watabaki kuangalia TU.....ushauri wangu mlitakiwa mpigane kiakili sana angalau hata muungize wabunge 10 wenye akili wakiwashe turudi Bunge la 2010....katika wabunge hao hakikisheni Kila kituo cha majimbo YAO mnaweka mawakala...vituo visivyo na mawakala ndio mnapopigwa sema Huwa mnajizima data TU...
Sasa hivi Kila kiongozi anajifanya Netanyau acheki na wowote na HAKUNA WA kumfanya lolote....hii ni hatari
Oya ubeligiji hawajatuma zana za kumkomboa kamanda, muingie uwanjani free Lisu au mtatoa sapoti kwenye keyboard tu, wanawashinda hata msumbiji waliopata uhuru juzi kati tu, ila wazungu ndo wakome waache kuwafadhili mashoga wafanye kazi zao, mwisho wa siku ndo kama hivi wanaishia tu kubwabwaja nyuma ya keyboard kuingia kitaa hawajiaminiPampas kavaa mumeo ***** mbovu wewe
Ni ushauri TU...Sasa hata km uwanja hauko fair ndio usipeleke timu? Nan atajua unaonewa....? Hata vitan mwanajeshi hupewa risasi 100 SI kwamba wanajua atakutana na maadui chini ya 100…. Ila wanaamini atajiongeza huko huko kwenye mapambano....vingine utavipata kwenye mapambano vizur TU ila sio kukimbia vita...Mleta uzi unaelewa maana ya uchaguzi?
Ndio maana simba waligoma kupeleka team uwanjani baada ya Yanga kufanya fitnaNi ushauri TU...Sasa hata km uwanja hauko fair ndio usipeleke timu? Nan atajua unaonewa....? Hata vitan mwanajeshi hupewa risasi 100 SI kwamba wanajua atakutana na maadui chini ya 100…. Ila wanaamini atajiongeza huko huko kwenye mapambano....vingine utavipata kwenye mapambano vizur TU ila sio kukimbia vita...
Ila kwa simba point hazikutoka wala magoli...ila hii pointi zinatoka na magoli juu hadi 2030Ndio maana simba waligoma kupeleka team uwanjani baada ya Yanga kufanya fitna
Formula ni ile ile hatushiriki maigizo ya ccm yanayoitwa uchaguzi.
No reforms no election wacha ccm wachaguane wawe100% bungeni
Unajua maana ya No reform No election? Chadema imekuwa ikishiriki uchaguzi toka mfumo wa vyama vingi uanze. Pamoja na kasoro zilizokuwepo angalau waliweza kuzivumilia.Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Sawa,haya ni mawazo yako,subiri uone mbinu walizonazo Chadema
YOU ARE QUITE RIGHT. Kwa Dunia ya Sasa kutegemea Marekani na Ulaya ni kujidanganya.. Best practice ni Ukraine, na Venezuela. Chadema is losing momentum. CCM sio chama Cha karata. Ni chama strong with deep roots.Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Hiyo..."no body care"...unamaanisha nini?Intaplinywaa kabisa wewe!Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Umeshawahi kusikia kuna mpinza i ameuawa kisa uchaguzi na polisi au jeshi. Ketu huwa ni vita ya upinzani na jeshiKila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Ila kwa simba point hazikutoka wala magoli...ila hii pointi zinatoka na magoli juu hadi 2030
"No body care" eti wewe ndiye unatoa ushauri kwa Chadema. Ccm sijui hawa huwa wanawatoa wapi! Au umetoka Zanzibar?Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Chadema wamesema hawashiriki huo uchaguzi, sasa nyie mnawashwa nini wakati kuna vyama 18 ambavyo vitashiriki?Nd
Ndio MAANA nimewambia wasiukache UCHAGUZI waingize vichwa angalau 10 vya kuwaamsha wananchi waliokata tamaa....
Kila kitu huitaji uongozi hata kwa udogo wake.....
Kwa Tanzania sahau kitu machafuko.....
Ccm huwaogopa boda boda,machinga,mama ntilie na watu wa masokoni coz ndio wanajua Hawa hawanaga cha kupoteza wakilianzisha...Ndio MAANA Kila mwanasiasa hujipendekeza kwao...
Ila huku kwingine walishapaweza zamani kuwa control..tena watumishi na wafanyabiashara ndio mazombi Yao...
Bado kwenye keyboard au mnasaka mganga mpya....maana uwanjani hamuwezi ingia ma keyboard warrior na hata wengi wanaochochea wenzao waingie uwanjani wengi ndo hao wamejificha huko canada wengine kenya,,,wanasakizia wenzao watolewe manunduNgoma bado