- Thread starter
- #61
Nobody cares...kingine?Hiyo..."no body care"...unamaanisha nini?Intaplinywaa kabisa wewe!
Nobody cares...kingine?Hiyo..."no body care"...unamaanisha nini?Intaplinywaa kabisa wewe!
No reforms no election electionBado kwenye keyboard au mnasaka mganga mpya....maana uwanjani hamuwezi ingia ma keyboard warrior na hata wengi wanaochochea wenzao waingie uwanjani wengi ndo hao wamejificha huko canada wengine kenya,,,wanasakizia wenzao watolewe manundu
Mmesema kwa mzunguNo reforms no election election
![]()
Tanzania’s Election Will Deepen Cynicism About Democracy | Council on Foreign Relations
President Samia’s quest for a mandate may lead to a pyrrhic victory.www.cfr.org
USHAURI wako ulikuwa muafaka kwa CHADEMA ya Mbowe, CHADEMA ya Lissu ni CHADEMA ya mtu aliyegoma kufa!Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Si umesema kila nchi inajali mambo yake hivyo msijali hata mkichongewa juu ya udhalimu wenu huko EU mnakotembeza bakuli lenu.Hamuendi kutusemea ubeligiji waje kutoa adhabu
Bora wanaotembeza bakuli kuliko walamba miguu puppetsSi umesema kila nchi inajali mambo yake hivyo msijali hata mkichongewa juu ya udhalimu wenu huko EU mnakotembeza bakuli lenu.
Nyie mnaotembeza bakuli si ndio mna omba kuwa puppets!! Omba omba sio sifa nzuri 😂😂Bora wanaotembeza bakuli kuliko walamba miguu puppets
Tulieni mminywe korodani kidogoMmesema kwa mzungu
Kama unaishi Canada vizuriTulieni mminywe korodani kidogo
Wangekua puppets wazee wa usaid wangesusa? Si wameona watu wanatafuna pesa zao halafu hawafanyi wanayotumwa..........puppets wakipewa nchi hata yale mambo ya uliberali watahalalisha......wahuni waliwapiga hao wazungu changa la macho la vyama vingi ilimradi pesa itoke ila mwisho wa siku chama ni kile kile kimoja wengine wasindikizaji tuNyie mnaotembeza bakuli si ndio mna omba kuwa puppets!! Omba omba sio sifa nzuri 😂😂
Naona mmeweweseka na no Reforms no ElectionKama unaishi Canada vizuri
Mambo kama haya yanachangamsha nchi yanaleta burudani kikubwa tunajua anaeapishwa ni nani , mengine yakupeleka siku mbele tu ili uapisho uje haraka, tunawashukuru kwa kampaniNaona mmeweweseka na no Reforms no Election
Tutaona mkienda kupiga magoti kwa mabeberu muda sio mrefu!!!!Mambo kama haya yanachangamsha nchi yanaleta burudani kikubwa tunajua anaeapishwa ni nani , mengine yakupeleka siku mbele tu ili uapisho uje haraka, tunawashukuru kwa kampani
Wana shida lazima watatoa wakiringa huku unamtishia kwa mChina na Urusi....huku nao influence ya huku bado wanaitaka lazima wacheze kwa step........hali ilivyo kwa sasa duniani lazma wapigwe pesa ndefu tu hasa AfricaTutaona mkienda kupiga magoti kwa mabeberu muda sio mrefu!!!!
Mark my words