Sisi tunachohitaji ni uwanja sawa wa kuchagua na kuchaguliwa wala hatuangalii huko nje kuna nini NO REFORMS NO ELECTION.Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo YAO kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Hamuendi kutusemea ubeligiji waje kutoa adhabuSisi tunachohitaji ni uwanja sawa wa kuchagua na kuchaguliwa wala hatuangalii huko nje kuna nini NO REFORMS NO ELECTION.
Tumewaachia muibiane wenyewe mbona bado mnapiga mayowe nyie manyang'au?Hamuendi kutusemea ubeligiji waje kutoa adhabu
Sie tunamis kushtakiwa kwa muzunguTumewaachia muibiane wenyewe mbona bado mnapiga mayowe nyie manyang'au?
Kinachowapata wapalestina licha ya kuwa wanatafuta haki YAO ndio kitakachowapata na nyie watu watabaki kuangalia TU.....ushauri wangu mlitakiwa mpigane kiakili sana angalau hata muungize wabunge 10 wenye akili wakiwashe turudi Bunge la 2010....katika wabunge hao hakikisheni Kila kituo cha majimbo YAO mnaweka mawakala...vituo visivyo na mawakala ndio mnapopigwa sema Huwa mnajizima data TU...Sisi tunachohitaji ni uwanja sawa wa kuchagua na kuchaguliwa wala hatuangalii huko nje kuna nini NO REFORMS NO ELECTION.
Muueni LissuSie tunamis kushtakiwa kwa muzungu
Ingieni mtaani basi wazungu waone mnafanya kazi....ndo maana wanasitisha misaada maana wanaona pesa zenyewe zinaenda kwa ma keyboard warriors, wanashindwa kufanya kazi waliyotumwa.....kuua sahivi aaah kikubwa SAMIA HADI 2030Muueni Lissu
Kwa hiyo tushiriki kwa hizi sheria zilizopo halafu CCM waibe kura watu wauawe,wengine wapate Vilema mwisho wa siku tupate mbunge mmoja?Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKACCMNI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Kwa kilichotokea 2019,2020 na 2024 bado unategemea wabunge na madiwani toka Chadema? Usiwe unatuona hatuna akili kuweka msimamo wa kutaka mabadiliko ya mifumo na sheria za uchaguzi. Ikiwa waliua wagombea wa vitongoji ndiyo wakupe wabunge? Ni utaahira kufanya jambo lile lile kwa njia ile ile na kutegemea matokeo tofauti. Au mwenzetu wewe uko ughaibuni hujui kilichotokea 2019,2020 na 2024?Kinachowapata wapalestina licha ya kuwa wanatafuta haki YAO ndio kitakachowapata na nyie watu watabaki kuangalia TU.....ushauri wangu mlitakiwa mpigane kiakili sana angalau hata muungize wabunge 10 wenye akili wakiwashe turudi Bunge la 2010....katika wabunge hao hakikisheni Kila kituo cha majimbo YAO mnaweka mawakala...vituo visivyo na mawakala ndio mnapopigwa sema Huwa mnajizima data TU...
Ingia wewe sisi tumechagua njia ya kuzuia uchaguzi.Ingieni mtaani basi wazungu waone mnafanya kazi....ndo maana wanasitisha misaada maana wanaona pesa zenyewe zinaenda kwa ma keyboard warriors, wanashindwa kufanya kazi waliyotumwa.....kuua sahivi aaah kikubwa SAMIA HADI 2030
Kwani wanasusa ili huko duniani somebody akee?Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Usije ukiji fananisha kisiasa na marekani, hata waanguke vipi, hawewez fikia level ya tz .Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Mlichokosa ni subira silaha ambazo mngizutumia UCHAGUZI nyie mmeanza nazo mapema.... Huku mkijua ccm na ccp ni dugu Moja....mngeamua kipi kitangulie.....na mnakijua ni angalau muungize wabunge 10 wenye akili timamu...Hawa wangesaidia kuamsha akili za WA Tanzania.....mmejiuliza kwanini watu Sasa hivi hata hawajui km Kuna Bunge...?Hivi nini usichokielewa?Ni kuzuia uchaguzi sio kususa,Yaani mpaka Lissu kawekwa ndani hukujua anapigania nini?
Mie ntaingia kupiga kura oktobaIngia wewe sisi tumechagua njia ya kuzuia uchaguzi.