Hujaelewa nini Sasa? Nachosemea hao unaowasemea wamepunguza sana kufuatilia chaguzi za watu...wamejifunza kwa macho madogo...Usije ukiji fananisha kisiasa na marekani, hata waanguke vipi, hawewez fikia level ya tz .
Hao wako ligi nyingine kabisa, tafuta wa ligi yako
Sawa,haya ni mawazo yako,subiri uone mbinu walizonazo ChademaMlichokosa ni subira silaha ambazo mngizutumia UCHAGUZI nyie mmeanza nazo mapema.... Huku mkijua ccm na ccp ni dugu Moja....mngeamua kipi kitangulie.....na mnakijua ni angalau muungize wabunge 10 wenye akili timamu...Hawa wangesaidia kuamsha akili za WA Tanzania.....mmejiuliza kwanini watu Sasa hivi hata hawajui km Kuna Bunge...?
Kinachowapata wapalestina licha ya kuwa wanatafuta haki YAO ndio kitakachowapata na nyie watu watabaki kuangalia TU.....ushauri wangu mlitakiwa mpigane kiakili sana angalau hata muungize wabunge 10 wenye akili wakiwashe turudi Bunge la 2010....katika wabunge hao hakikisheni Kila kituo cha majimbo YAO mnaweka mawakala...vituo visivyo na mawakala ndio mnapopigwa sema Huwa mnajizima data TU...
Sasa hivi Kila kiongozi anajifanya Netanyau acheki na wowote na HAKUNA WA kumfanya lolote....hii ni hatari
Unaongelea uchaguzi wa mwaka huu tena? Au wa 2030? Hv unajua madaraka ya mkurugenzi wa uchaguzi? Alishatangaza tena mbele ya mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi kuwa mwaka huu HAWAWEZI TENA KUSHIRIKI UCHAGUZI, andikeni mambo mengine hiyo imeshapitaKila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Lione hili, nyumbu kwl kwlSisi tunachohitaji ni uwanja sawa wa kuchagua na kuchaguliwa wala hatuangalii huko nje kuna nini NO REFORMS NO ELECTION.
mHivi nini usichokielewa?Ni kuzuia uchaguzi sio kususa,Yaani mpaka Lissu kawekwa ndani hukujua anapigania nini?
Ndio MAANA nimewambia wasiukache UCHAGUZI waingize vichwa angalau 10 vya kuwaamsha wananchi waliokata tamaa....Ooooh ohhh mtoa maada naona umejawa na hofu Sana hasa ya Nini kitatokea endapo CDM hawatashiriki uchaguzi,,,,,,,,,
Pili huoni athari yeyote kwa nchi hasa vijana Hawa watakao kuja kuwa taifa la Tanzania siku zijazo..
Historia mbona inafundisha mengi Sana.....mfano ;chanzo cha mapinduzi ya Zanzibar,mapinduzi ya Cuba, huko Haiti nk. Watawala walipuuza madai madogo kama haya wakaona hayana msingi kwa sababu wao wanashiba hawajui wenzao wapo VP na mawazo Gani
Hivi karibuni nchi ya Siri Lanka maandano yalianzishwa na watoto wa shule mwishowe serikali yote ikaangushwa km masihara vile,,,,
Kumbuka wakati mwl Nyerere anadai uhuru wa Tanganyika Kuna wa Tanganyika waliokuwa wanakula mezani pa mkoloni walimpinga na kumuona zuzu...Hali kdhalika na huko A.kusini, Mozambique,Namibia,Kenya Ghana nk.
Duniani kote duku duku la kudai haki,kuondoa ukandamizaji,kujikomboa kiuchumi ,kifikra na kupata usawa si kazi ndogo na Huwa inaanza na wanyonge Wachache wenye kuthubutu kutetea wenzao.........
Hawa wanyonge wenye kutetea wanyonge ndio Huwa wapo hatarini Sana......kuuwawa,kufungwa,kutekwa,kufirisiwa,kupigwa,kunyongwa,kutishwa,kuny'ang'anywa uraia na maswahibu mengine.
Kusudi waache kudai haki,waendelee kutawaliwa na kula Emma yote ya nchi.....
Pia Kila nchi duniani kwa Sasa inapigana kivyake hakuna familia ya jirani au hata ndugu atamwanglia mwenzake.........hao wa ulaya au china ama Amerika wataangalia kwetu kwa kulinda TU Mali zao walizoweka hapa kwetu na kumuunga mkono yule(upande) utakao onyesha utalinda maslahi Yao
Nitarudi baadae.........
Twambie kwanza nini huwa kinapelekea wapinzani kuenguliwa katika chaguzi??,,ukipatia vyema jibu,ndo utaweza kuongea hayo.Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Disorganized Yao TU.....hivi ukishajua una Dili na mtu wa anaekufanyia Hila na Kila aina ya ufedhuli unashindwa kuwatumia wanasheria wawasemamie wagombea kwa kuwaita katika ofisi za chama wajaze fomu za ugombea( au nauli hamna)huku mkikusanya ushahidi wa video na nakala ngumu pindi wanajaza???? Ili ikitoke SINTOFAHAMU Mnapo kwa kushtakia...( Sisiemu hutumia udhaifu wenu kushinda) Mawakala 10 kwenye vituo 50 hapo hata msimamizi wa Tume mkiambiwa mu mteue nyinyi hamshindiTwambie kwanza nini huwa kinapelekea wapinzani kuenguliwa katika chaguzi??,,ukipatia vyema jibu,ndo utaweza kuongea hayo.
Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Ushauri wa kichawachawa na hovyooooKila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Bado hilo sio jibu,Disorganized Yao TU.....hivi ukishajua una Dili na mtu wa anaekufanyia Hila na Kila aina ya ufedhuli unashindwa kuwatumia wanasheria wawasemamie wagombea kwa kuwaita katika ofisi za chama wajaze fomu za ugombea( au nauli hamna)huku mkikusanya ushahidi wa video na nakala ngumu pindi wanajaza???? Ili ikitoke SINTOFAHAMU Mnapo kwa kushtakia...( Sisiemu hutumia udhaifu wenu kushinda) Mawakala 10 kwenye vituo 50 hapo hata msimamizi wa Tume mkiambiwa mu mteue nyinyi hamshindi
Nyumbu mumeo shoga mbovu weweLione hili, nyumbu kwl kwl
Sisi hatushiriki huo upuuziMie ntaingia kupiga kura oktoba
Tatizo, mnawaingiza au kuwahamasisha upinzani kuingia katika uchaguzi usio na ushindani sawa. Mwaka jana Tamisemi yalijirudia ya 2019 na 2020. Sheria kandamizi kwao.Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Kwanza ni utaahira eti kwenda kushitaki UlayaKila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...
Dunia imebadilika kwa haraka sana...ULAYA na MAREKANI nao zile rafu tulizozea kuchezwa Afrika kwao ndio zinachezwa kwa uwazi Kila kiumbe kinaona..
Angalieni chaguzi za HIVI karibuni za Afrika licha ya mapungufu kibao ila jamaa wamepiga kimya..kelele za wanaharakati wa chache TU zimesikika na kupotea kwa uharaka bila shinikizo za serikali zao
Kingine hatujui nini kitatokea miezi 5 ijayo huku Duniani kwa hii minyukano mixer vikwazo...Kuna Kila dalili watakuwa bize na mambo yao kuliko kuutolea macho huu UCHAGUZI
Mwisho nchi za ULAYA kadri muda unavyokwenda zinapoteza kuheshimiwa sana licha ya kwamba Bado wanatupa msaada
Ndugu zanguni hata mkisusa huko Duniani" no body care"
Wajiulize Mondlane wa Msumbiji yupo wapi na kelele zake!Kila taifa SASA HIVI linajiendesha kwa mtazamo na matakwa yake kiuchaguzi...