Tuseme ukweli, Gamondi anafeli pakubwa sana Yanga

Salaam wana JF,

Kwanza kabisa niwapongeze wote kwa kumaliza weekdays salama. Pia Ngoja niendelee na mada yangu hapo kwenye title. Mimi ni mmoja kati ya wana football ambao nilikuwa namuhusudu sana Nabi na nilifurahishwa zaidi na namna ambavyo aliondoka akiwa bado anapendwa, Ni wachache sana wanapata bahati kama hizo, na kwa miaka ya hivi karibuni labda Thomas Tuchel tu ndo kaondoka kwa style hio.

Well, then after his depart, akaja kocha Gamondi, akaleta soka safi na la kutumia viungo wengi sana kama amerika ya kusini wanavyofanya, na huku akipata matokeo uwanjani, basi wananchi wakamuweka sana Moyoni.

Ila sasa kwa namna hali inavyoenda, huyu kocha inaonekana mbinu zimeisha. Kila mechi anacheza na same game plan hata kama haimpi matokeo anayoyataka. Yes, tunajua anajiamini ila kwanini unaendelea kutumia back 3 na bado ukuta wako unakuwa hoi na dhaifu kiasi kile..? Nabi pia aliwahi kutumia Back 3 na wing back ila ni kwenye mechi ambazo wala hazikuwa na umuhimu, ni kama alikuwa anapima mapokeo ya hio mbinu na akaona CB's wa Yanga hawana uelewa na uzoefu na mapokeo sahihi ya tactic hio, akaona bora atemane nayo tu.

Pili, kocha huyu katengeneza classes pale Yanga baina ya wachezaji, sahivi kuna wachezaji wanaozea tu benchi bila sababu ya msingi. Out of 5 substitution, anafanya 2 na zote hazimlipi. That shows clearly how poor he is kwenye game analysis. Anashindwa kujua game inataka nini.

Tatu, Kocha huyu hana discipline, yeye pamoja na tactical bench lake. Hana nidhamu kuanzia kumuheshimu mpinzani uwanjani hadi kuheshimu maamuzi ya waamuzi. Nadhani wote tume witness hilo.

Angalizo kubwa sana, kocha asikaze kichwa. Akubali kupokea ushauri. YANGA hawajamleta pale aje kucheza na coastal union, kina Mkwasa wapo na hawana team kama lengo lilikuwa hilo. Kocha asijidanganye na zile goal 5 za Mtani, mechi za derby zinachezwa na waganga kuliko wanavyocheza wachezaji na mbinu za bench la ufundi. Sisi wenye team tunalijua hilo. Mafanikio ya Nabi yatamtesa sana asipokuwa makini na kuiga vitu vizuri sio dhambi.
Changamoto hapa ni mnadhani uto yuko confederations na kina marumo gallants... hii ni champions league. Hata nabi angestruggle...
 
Viungo wanacreate nafasi nyingi sana. Tatizo ni finishing. Hatuna straika.
 
Salaam wana JF,

Kwanza kabisa niwapongeze wote kwa kumaliza weekdays salama. Pia Ngoja niendelee na mada yangu hapo kwenye title. Mimi ni mmoja kati ya wana football ambao nilikuwa namuhusudu sana Nabi na nilifurahishwa zaidi na namna ambavyo aliondoka akiwa bado anapendwa, Ni wachache sana wanapata bahati kama hizo, na kwa miaka ya hivi karibuni labda Thomas Tuchel tu ndo kaondoka kwa style hio.

Well, then after his depart, akaja kocha Gamondi, akaleta soka safi na la kutumia viungo wengi sana kama amerika ya kusini wanavyofanya, na huku akipata matokeo uwanjani, basi wananchi wakamuweka sana Moyoni.

Ila sasa kwa namna hali inavyoenda, huyu kocha inaonekana mbinu zimeisha. Kila mechi anacheza na same game plan hata kama haimpi matokeo anayoyataka. Yes, tunajua anajiamini ila kwanini unaendelea kutumia back 3 na bado ukuta wako unakuwa hoi na dhaifu kiasi kile..? Nabi pia aliwahi kutumia Back 3 na wing back ila ni kwenye mechi ambazo wala hazikuwa na umuhimu, ni kama alikuwa anapima mapokeo ya hio mbinu na akaona CB's wa Yanga hawana uelewa na uzoefu na mapokeo sahihi ya tactic hio, akaona bora atemane nayo tu.

Pili, kocha huyu katengeneza classes pale Yanga baina ya wachezaji, sahivi kuna wachezaji wanaozea tu benchi bila sababu ya msingi. Out of 5 substitution, anafanya 2 na zote hazimlipi. That shows clearly how poor he is kwenye game analysis. Anashindwa kujua game inataka nini.

Tatu, Kocha huyu hana discipline, yeye pamoja na tactical bench lake. Hana nidhamu kuanzia kumuheshimu mpinzani uwanjani hadi kuheshimu maamuzi ya waamuzi. Nadhani wote tume witness hilo.

Angalizo kubwa sana, kocha asikaze kichwa. Akubali kupokea ushauri. YANGA hawajamleta pale aje kucheza na coastal union, kina Mkwasa wapo na hawana team kama lengo lilikuwa hilo. Kocha asijidanganye na zile goal 5 za Mtani, mechi za derby zinachezwa na waganga kuliko wanavyocheza wachezaji na mbinu za bench la ufundi. Sisi wenye team tunalijua hilo. Mafanikio ya Nabi yatamtesa sana asipokuwa makini na kuiga vitu vizuri sio dhambi.
Nabi Nabii huyu alitolewa club bingwa mapema hakuweza kuingia makundi na yanga ,msimu huu akiwa na FAR Rabat bingwa wa Morocco ambaye anaongoza ligi mpaka Sasa Katolewa round ya pili club bingwa na team inayofungwa 2+nyumbani na Al hilal ya ibenge,what so special Abt Nabi ,Hii ni club bingwa Africa mashindano makubwa ya vilabu Africa ,ambayo mamelod anayesifiwa Kila msimu anakombe mmoja na kaingia fainali mara moja.Pokea hii ikufungue akili Nabi sio Elite coach ni wakawaida sana.
 
Maneno yamekuwa mengi Gamond, Gamond hana mbinu ni kutokana na sababu tu ya timu kushindwa kupata magoli. Binafsi mimi sioni tatizo la kocha bali timu haina ma straika wamaana. Yaani Mzize, Konikon na Musonda ndio wakupe matokeo? Kuna clear chances mbili za counter Kibabage anatetemeka tu anashindwa kufanya maamuzi sahihi. Mzize nae kapata clear chance moja kashindwa kuitumia. Na kuna mipira miwili ya counter kashindwa kutulia kutoa pasi ya kupenyeza kwa mwenzie. Zile nafasi zingetumiwa vyema kungekuwa na maneno kuhusu kocha? Mbinu huendana na silaha, kama silaha zako hafifu na butu uta struggle sana kumshinda adui. Tokea mechi ya ngao ya jamii nilisema madhaifu ya timu ni umaliziaji
 
Back
Top Bottom