Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Waongo Jengo lipo tena zuri tu ingawa sio kubwa,Boat jamaa kazingua inatembea mchana kuanzia Pale Nyamisati mpaka Bandarini..Hakuna safari za usiku.Nasikia airport ya Mafia haina jengo abiria mnakaa chini ya mti.
Try to visit MafiaUkiwa nansiio unaweza kusema hauko kisiwani,kuna vibe la kutosha sana tu
Usijali. We nenda tu. Mnainjoi sana kama bahari iko shwari. Ila ikikasirika usithubutu kusafiri kwa meli. Utakuja nishukuru baadaye. Penda sana kuangalia utabiri wa hali ya hewa ndiyo dira nzuri kwa safari za baharini. Ukichukulia siku hizi watabiri wetu wakitema utabiri ni mle mle mfano Hidaya windDuh, nilikuwa na ndoto ya siku moja nitembelee hiki kisiwa kama mambo yenyewe ndio kama hivi basi balaa.
πππ baada ya doria, unatungua ka swala kaliko nona, utani tu!Liwale ipi mkuu au unazungumzia liwale ya 1945? Niko huku kitambo ,kula nyama pori kwa sana tu
Kiukweli watabiri wetu kwa sasa wapo vizuri sana, wanapiga mule mule yaani. Hakuna shida mkuu nitaenda lazima, ipo kwenye bucket list hiiUsijali. We nenda tu. Mnainjoi sana kama bahari iko shwari. Ila ikikasirika usithubutu kusafiri kwa meli. Utakuja nishukuru baadaye. Penda sana kuangalia utabiri wa hali ya hewa ndiyo dira nzuri kwa safari za baharini. Ukichukulia siku hizi watabiri wetu wakitema utabiri ni mle mle mfano Hidaya wind
Naam usafiri ni jioni wakati wa kwenda, Na wakati wa kurudi ni asubuhi pekee. Inaweza kuchukua kati ya saa 4 mpaka 6 kutegemeana na hali ya bahari na aina ya kivuko, Kuna kivuko cha jeshi na kile cha magufuli viko haraka zaidi kuliko vingine.Aaah usafiri unaanza jioni? That means mnasafiri usiku baharini right? How long does it take from hapo Nyamisati to kisiwani Mafia mkuu?
Ni kama Chunya-Mbeya(Mbeye) na Ileje-Songwe.Mie kuna muda nasahau kabisa kama kuna kisiwa hicho
Acha mzaha basi.Huku ni nyama pori tu ,gruwe pori mzima 10,000
Real,Acha mzaha basi.
Mafia ni kama Lindi au kigoma unaweza jua Si tanzaniaLeo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga Hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha Mafia kwa shughuli za Serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa Mafia mbona kama ni kimya sana.
Wajuzi
Acheni utani basi na nyie!Huku ni nyama pori tu ,gruwe pori mzima 10,000