Tuseme ukweli, kisiwa cha Mafia umeshawahi kusikia habari yoyote mfano kama Serikali zinavyofanyika mikoa mingine

Tuseme ukweli, kisiwa cha Mafia umeshawahi kusikia habari yoyote mfano kama Serikali zinavyofanyika mikoa mingine

Nasikia airport ya Mafia haina jengo abiria mnakaa chini ya mti.
Waongo Jengo lipo tena zuri tu ingawa sio kubwa,Boat jamaa kazingua inatembea mchana kuanzia Pale Nyamisati mpaka Bandarini..Hakuna safari za usiku.
 
Try to visit Mafia
Next month nitafanya utalii wa ndani na sehemu ya kwanza nataka nije Mafia kuwaona wale papa weusi whale sharks, rafiki wa binadamu then nile nyama pori za kutosha coz ndio ugonjwa wangu.😋
Depal let's do it
 
Duh, nilikuwa na ndoto ya siku moja nitembelee hiki kisiwa kama mambo yenyewe ndio kama hivi basi balaa.
Usijali. We nenda tu. Mnainjoi sana kama bahari iko shwari. Ila ikikasirika usithubutu kusafiri kwa meli. Utakuja nishukuru baadaye. Penda sana kuangalia utabiri wa hali ya hewa ndiyo dira nzuri kwa safari za baharini. Ukichukulia siku hizi watabiri wetu wakitema utabiri ni mle mle mfano Hidaya wind
 
Kiukweli watabiri wetu kwa sasa wapo vizuri sana, wanapiga mule mule yaani. Hakuna shida mkuu nitaenda lazima, ipo kwenye bucket list hii
 
Aaah usafiri unaanza jioni? That means mnasafiri usiku baharini right? How long does it take from hapo Nyamisati to kisiwani Mafia mkuu?
Naam usafiri ni jioni wakati wa kwenda, Na wakati wa kurudi ni asubuhi pekee. Inaweza kuchukua kati ya saa 4 mpaka 6 kutegemeana na hali ya bahari na aina ya kivuko, Kuna kivuko cha jeshi na kile cha magufuli viko haraka zaidi kuliko vingine.
 
Mafia ni wilaya moja wapo kati ya Wilaya 7 za Mkoa wa Pwani

Pia kati ya Halmashauri 9 za Mkoa wa Pwani, Mafia ni moja wapo.

Mafia ni Jimbo miongoni mwa majimbo 9 ya Mkoa wa Pwani.

Sasa sijui mtoa mada ulitaka Wilaya iwe maarufu kuliko Mkoa!
 
Leo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga Hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha Mafia kwa shughuli za Serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa Mafia mbona kama ni kimya sana.

Wajuzi
Mafia ni kama Lindi au kigoma unaweza jua Si tanzania
 
Back
Top Bottom