Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…

Ww jamaa unapayuka tu humu ndani
 
Mara ya mwisho kunywa maji ya Uhai ni zaidi ya miaka 8 iliyopita. Mara ya mwisho nilivyokunywa hayo maji nilikuwa natembea naharisha harisha tu barabarani kama kwa siku 3 hivi. Nikasema sigusi haya maji tena.
 
Mabishano hewa ya nini? Si utafiti ufanyike katika watoto wanaokunywa hizo juice wangapi walipata cancer, au katika watoto wanaokua diagnosed na leukemia wangapi walikuwa wanatumia hizo products za azam.. BTW kwa upande wangu huwa sinywi juice aina yoyote nje ya za azam! Na niko nadunda tu mimi na familia yangu zaidi ya miaka 13, sijaona bado kiashiria chochote cha hatari
 
Duuh noma
 
Kunyweni mchuzi wa matembele na mchicha Kisha unashushia na juice ya karoti ama ubuyuuu kutoka dodoma
 
Mara ya mwisho kunywa maji ya Uhai ni zaidi ya miaka 8 iliyopita. Mara ya mwisho nilivyokunywa hayo maji nilikuwa natembea naharisha harisha tu barabarani kama kwa siku 3 hivi. Nikasema sigusi haya maji tena.
Si bure kuna shida mahali huenda nati zimelegea kitambo
 
Mkuu Azam ungeachana naye maana hutaeleweka... halafu hunA utakachopata. Mtu ana utAjiri wa trillions huko wakati wewe hata milioni mbili cash huna... Unakuja kuleta porojo.....kumhusu.. umekula lakini..
🤣🤣🤣
 
Huyu jamaa anaongea ukweli awamu moja alikosea kuhusu Azam energy na kweli yakatokea mabadiliko, je nani anafanya uhuni huko kwenye viwanda vya Azam? Hii jeuri wanaipata wapi?
 
Utakuja kusanuka tayari ugonjwa ushakuwa sugu,,shauri yako.
 
Mkuu Azam ungeachana naye maana hutaeleweka... halafu hunA utakachopata. Mtu ana utAjiri wa trillions huko wakati wewe hata milioni mbili cash huna... Unakuja kuleta porojo.....kumhusu.. umekula lakini..
Ungemshukuru tu hata kwa taarifa,unaongea kama huna ndugu wanatumia baadhi ya bidhaa za azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…