Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Uthibitisho huo hapoAnaye takiwa kuacha mihemko ni ww na huyo kapuku mwenzio mleta mada mnao zusha mambo bila udhibitisho.
Ukitaka kuleta jambo leteni na ushahidi na udhibitisho wa kitaalamu na sio ukisha shiba makande una kuja kuandika uharo wa kuharibu brand za watu.
Je kuna ndugu yako alisha kufa au kuumwa na madakitari wakakwambia kuwa chanzo chake ni bidhaa ya azam?
Ww kama hutaki kutumia bidhaa za Azam acha kwa binafisi yako na sio kuja humu kuchafua brand za watu.
Hivi ni lini Rostam na GSM wamezaliwa Zanzibar?Tangia baresa ajiunge na genge la waharifu kina rostam na gsm basi nikajua tu wazanzibar wametupania kutumaliza wabara
Na Kuna mwingine alisema humu kuwa mwanae hali mpaka juisi
Ukweli kuna wakati niliwahi kutumia maziwa ya AZAM hayakunipenda hata kidogo.Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam.
Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili moja rangi inakuwa inaenda kwenye weusi nyingine ina mng'ao but pia si pure maembe.
Msikilizeni zaidi jamaa akielezea upande wa Juice za Embe. Mimi kwa sasa natumia Juice ya Ukwaju angalau najua hii hawezi chakachua sana.
Tuambiane tu ukweli... Tusioneane haya kwa misingi ya huyu ni mwenzetu. Products nyingi za Azam ni very poor. Hata hizi Energy drinks za Azam na Mo si za viwango. Zinaharibu sana vijana kwa nguvu za kiume. Hasa boda boda.
View attachment 2505658
Ndiye yeye kwani@Masaidada
sasa wewe kama ualo sema la kweli nenda mahakamani hili ukakutane na wakemia wenzio hapa mbona unapoteza muda wako bahati yako umasikini ungekuwa tajiri washakuwaisha mahakamani kwa kuwachafulia kazi yao lakini wanakuuza tu wakikushitaki utalipa nn?Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam.
Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili moja rangi inakuwa inaenda kwenye weusi nyingine ina mng'ao but pia si pure maembe.
Msikilizeni zaidi jamaa akielezea upande wa Juice za Embe. Mimi kwa sasa natumia Juice ya Ukwaju angalau najua hii hawezi chakachua sana.
Tuambiane tu ukweli... Tusioneane haya kwa misingi ya huyu ni mwenzetu. Products nyingi za Azam ni very poor. Hata hizi Energy drinks za Azam na Mo si za viwango. Zinaharibu sana vijana kwa nguvu za kiume. Hasa boda boda.
View attachment 2505658
hehehe huo msumali wa nchi sitta umetua kichwani mwake anasikilizia maumivuMkuu Azam ungeachana naye maana hutaeleweka... halafu hunA utakachopata. Mtu ana utAjiri wa trillions huko wakati wewe hata milioni mbili cash huna... Unakuja kuleta porojo.....kumhusu.. umekula lakini..
hehehe raha sio raha watu kama hawa misumali kama hii ndio dawa yaoUmeshikiwa bunduki unywe mbona anapolipa Kodi unakenua mdomo we kenge
wewe mjanjaHuwa mimi sinywi hizi takataka za huyu bwana, wala hata za viwanda vya soda na bia. Mimi huywa zaidi juice niliyotengeneza mwenyewe kwa maembe, ndizi, tikiti maji, nanasi, fenesi, parachichi, passion fruits, etc. Mnaoona kunywa juice za viwandani ni ujanja, basi endeleeni na ujanja wenu.
Subiri matokea utayaona soon as possibleMabishano hewa ya nini? Si utafiti ufanyike katika watoto wanaokunywa hizo juice wangapi walipata cancer, au katika watoto wanaokua diagnosed na leukemia wangapi walikuwa wanatumia hizo products za azam.. BTW kwa upande wangu huwa sinywi juice aina yoyote nje ya za azam! Na niko nadunda tu mimi na familia yangu zaidi ya miaka 13, sijaona bado kiashiria chochote cha hatari
Nlishawahi kusoma na kuzungumzia kuhusuana na maziwa ya Azam. Watu wakaja leta ushabiki sana na ushabiki wa kipumbavu tu wa kidini n.k wanaokufa au kuathirika ni hawa hawa maskini. Matajiri hawanunui bidhaa poor kama za Azam.
Ukiangalia juice za maembe za Azam unaweza kuta zipo kama aina mbili moja rangi inakuwa inaenda kwenye weusi nyingine ina mng'ao but pia si pure maembe.
Msikilizeni zaidi jamaa akielezea upande wa Juice za Embe. Mimi kwa sasa natumia Juice ya Ukwaju angalau najua hii hawezi chakachua sana.
Tuambiane tu ukweli... Tusioneane haya kwa misingi ya huyu ni mwenzetu. Products nyingi za Azam ni very poor. Hata hizi Energy drinks za Azam na Mo si za viwango. Zinaharibu sana vijana kwa nguvu za kiume. Hasa boda boda.
View attachment 2505658
Hivi baresa anangombe kweli auUkweli kuna wakati niliwahi kutumia maziwa ya AZAM hayakunipenda hata kidogo.
Kimsingi AZAM napenda bidhaa zake zitokanazo na mazao ya nafaka. Products zinginezo tumieni nyie ambao mnaweza kuhimili zahama za maudhi madogo madogo
maji ya viwandani yamejaa sumu tupuNiko salama kabsa asilimia 75 ya mwim wa binadum ni maji afu nskunywa kwa kiasi
Si kila mtu wa kutekwa....Mwishoe utekwe bure tu
Hile neno ndo umelifaham sasa eeeeeh .....leta tena shobo nakuchapa tu mi sicheck na hasara kama nyie.Nanukuu "8 Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake,
Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi.
9 Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako,
Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu".
Kama ulichoandika ni sahihi zingeshaondolewa sokoni kitambo.
Ndo utashangaa sasa.Hawawezi.
Jana Azam wamepost video wakionesha kuwa wanatumia maembe halisi, wakati wakulima wanalia maembe hanawaozea
Huo udhibitisho umetoka katika chombo gani chenye dhamana ya kuchunguza ubora wa bidhaa hapa Tz?Uthibitisho huo hapoView attachment 2506127
Hata ugali wa dona nasikia unaleta kansa, sababu ya aflatoxin inakua juu sana, kuliko sembe😂,Cause ya cancer ni unknown zingine ni assumptions tu.
Leta equation apa tuthibitishe cancer inatokeaje.
Lakini vitamin c ambayo ni ascorbic acid na benzene vinatengenezwa cancer endapo kinywaji kutakua exposed kwenye uv light Kwa muda mrefu. Vipi kama hujaweka juani?
Pia Asante Kwa kutufumbua macho💪💪💪
Usinipayukie mm huo umasikini wako haujasababishwa na mm bali umesababishwa na ujinga wako wa kutegemea udangaji kuishi mjini.We nae acha kiherehere brand brand ya nyoko ,acha kuwa chawa utakufa miguu juu, kwa iyo unataja mtu atangaze kisa cha kifo ni azam elimika na usome uelewe kichwa tope ww
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app