Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo wazanzibar wenzake hawamtaki tia wrong KUBWAHata akiwekwa na Joti Joti atapita kama mshale, hata wazanzibar wenzake hawamtaki kabisa
Hivyo ni vitisho tu Kwa watia Nia, mchujo lazima.hiyo ni kumaanisha hayupo wa kumchuja.
yeye ni mgombea pekee na ni yeye ndie pekee anastahili na mwenye fursa ya kupeprerusha bendera ya chama chake2025.
Rejea maneno au kauli ya E.Nchimbi katibu mkuu ccc, dhidi ya Dr.Gharib Bilali alipoombwa amuunge mkono kugombea urais wakati huo, ilihali DR. Amani Abeid Karume alikua anayo ngwe ya pili ya kuwa rais wa zanzibar, kulingana na mila na desturi ya heshima waliyonayo chama cha mapinduzi.
Sasa si akagombee huko au wao hawataki kuongozwa na kiongozi mzuri?Apo wazanzibar wenzake hawamtaki tia wrong KUBWA
Rais Samia, amekitaka chama chake kuweka mchujo kwa wawakilishi ili ambao wamekuwa hawafanyi vizuri kwa wananchi, wapigwe chini.
Kwenye hili nampongeza sana, hii itawafanya wabunge wetu wafanye kile wananchi wamewatuma huko bungeni.
Hata hivyo, shida yangu ni moja, kutokana na hoja hiyo hiyo, Nimewasikia viongozi wa CCM wakisema, nafasi ya urais, kutachapishwa kadi moja tu ya ugombea, ambapo hapatakuwa na mchujo kwenye nafasi hiyo ya urais ndani ya chama hicho.
Kama ndivyo, namshauri pia Mh. Rais, aruhusu mchujo hata kwenye nafasi yake, ili kuweka mambo sawa!
Na akiruhusu mchujo mpaka kwenye nafasi ya urais, hii itaenda sambamba na hiki alichokitangazia chama chake kwamba, kuwe na mchujo wa kuchuja wabunge wasiowachapa kazi ambao wamekaa kukimbizana na sitarehe zao huku wakiwatekeleza wananchi wanaowawakilisha.
wewe unaweza kujichuja au kujichua tuanzie apo kwanza
humehamua kunituthi kuhutu huthima thio 🐒Hemu katatue matatizo uliyo nayo
Kwavile CCM tayari inao utaratibu wake wa incumbent kutopingwa na kupitishwa kwa msesereko, hata Rais Samia, akiruhusu watu wampinge, CCM watoe fomu zaidi ya moja ili kumpinga Rais Samia, hakuna mwana CCM yeyote atakaye jitokeza!.namshauri pia Mh. Rais, aruhusu mchujo hata kwenye nafasi yake, ili kuweka mambo sawa!
Na akiruhusu mchujo mpaka kwenye nafasi ya urais,
Atabakia Kwa sifa ipi aliyonayo?Rais Samia, amekitaka chama chake kuweka mchujo kwa wawakilishi ili ambao wamekuwa hawafanyi vizuri kwa wananchi, wapigwe chini.
Kwenye hili nampongeza sana, hii itawafanya wabunge wetu wafanye kile wananchi wamewatuma huko bungeni.
Hata hivyo, shida yangu ni moja, kutokana na hoja hiyo hiyo, Nimewasikia viongozi wa CCM wakisema, nafasi ya urais, kutachapishwa kadi moja tu ya ugombea, ambapo hapatakuwa na mchujo kwenye nafasi hiyo ya urais ndani ya chama hicho.
Kama ndivyo, namshauri pia Mh. Rais, aruhusu mchujo hata kwenye nafasi yake, ili kuweka mambo sawa!
Na akiruhusu mchujo mpaka kwenye nafasi ya urais, hii itaenda sambamba na hiki alichokitangazia chama chake kwamba, kuwe na mchujo wa kuchuja wabunge wasiowachapa kazi ambao wamekaa kukimbizana na sitarehe zao huku wakiwatekeleza wananchi wanaowawakilisha.
Ajaribu aona! Watu watachukua vizuri sana kwa sababu kwanza, mama bila kuiba kura hawezi kupita uchaguzi mkuuKwavile CCM tayari inao utaratibu wake wa incumbent kutopingwa na kupitishwa kwa msesereko, hata Rais Samia, akiruhusu watu wampinge, CCM watoe fomu zaidi ya moja ili kumpinga Rais Samia, hakuna mwana CCM yeyote atakaye jitokeza!.
Sababu pekee inayoweza kumfanya Rais Samia asigombee 2025 ni only if kama sauti HII ni kweli!, then hii itamfanya Rais Samia asigombee 2025 kwa ridhaa yake mwenyewe ila bado CCM itatoa fomu moja na hiyo fomu moja ataichukua Samia na kumpa anayemtaka!.
P