Pre GE2025 Tuseme ukweli: Rais Samia akiruhusu mchujo kwenye nafasi yake atabaki?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivyo ni vitisho tu Kwa watia Nia, mchujo lazima.
 
Bibi chaudele akishindana hata na mimi mkulima wa mahindi wa kiakankunde atakula za uso, hawezi kuthubutu kwa sababu yeye mwenyewe anajua ukweli kua hakubaliki na hapendwi hadi na ndugu zake wa chambawima
 

Habaki
 
Hemu katatue matatizo uliyo nayo
humehamua kunituthi kuhutu huthima thio 🐒

kira nntu thi atafute namuna bola ya kutratrua matatithzo yake, bona dio ipogo ivo thiku thote ndrugu nyumbu🐒
 
namshauri pia Mh. Rais, aruhusu mchujo hata kwenye nafasi yake, ili kuweka mambo sawa!

Na akiruhusu mchujo mpaka kwenye nafasi ya urais,
Kwavile CCM tayari inao utaratibu wake wa incumbent kutopingwa na kupitishwa kwa msesereko, hata Rais Samia, akiruhusu watu wampinge, CCM watoe fomu zaidi ya moja ili kumpinga Rais Samia, hakuna mwana CCM yeyote atakaye jitokeza!.

Sababu pekee inayoweza kumfanya Rais Samia asigombee 2025 ni only if kama sauti HII ni kweli!, then hii itamfanya Rais Samia asigombee 2025 kwa ridhaa yake mwenyewe ila bado CCM itatoa fomu moja na hiyo fomu moja ataichukua Samia na kumpa anayemtaka!.
P
 
Atabakia Kwa sifa ipi aliyonayo?
 
Ajaribu aona! Watu watachukua vizuri sana kwa sababu kwanza, mama bila kuiba kura hawezi kupita uchaguzi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…