Uchaguzi 2020 Tuseme Ukweli tu: Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

Uchaguzi 2020 Tuseme Ukweli tu: Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

Naliwaambia waliojivuna, msijivune, na wasio haki msiinue pembe zenu juu, Wala msiende kwa Shingo ya Kiburi. Maana sipo Mashariki wala Magharibi

Guru Master 💚💛💚💛💚
 
Vipi..... Bado una maoni haya haya?
Yaani mpaka muda huu, bado ninatetemeka kwa kilichompata Sugu,nimeogopa muno, maana najiuliza swali kama ningekuwa mimi ingekuwaje!
Hata hivyo nilifanya vizuri kutoa tahadhari, watu wa namna hiyo huwa wana nguvu mbaya muno kisiasa. Si unaona lakini kwa upande mwingine kilichotokea kule Kawe? Kati ya watu ambao wamepigwa vibaya sana kwenye uchaguzi huu, ni mbunge aliyepita wa Kawe
 
Back
Top Bottom