Uchaguzi 2020 Tuseme Ukweli tu: Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

Umenena ukweli kabisa, sioni namna Dr. Tulia atatoboa hapa Mbeya, yaani sioni kabisa labda wakimbie na masanduku kama Kinondoni.
Kuna Majimbo FISIEMU wakileta WIZI wao basi watasababisha MAAFA!! Mbeya , Kanda Maalum(TARIME) ,Arusha ,Hai hayo majimbo sio ya kuwaletea Mchezo wapiga kura wa huko!!
 
Tulia aliongoza ule mchezo wa kuigiza wa majeneza. Anaweza kuwa mzuri katika kutafsiri vifungu akiwa bungeni lakini apunguze usichana na utoto.
 
Ikitokea Dr. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF lakini pia nitaamua kutokula kwa muda wa mwezi mzima nikifunga kuwalilia wana Mbeya kwa kuamua kuangamiza Jiji lao.
Uwezo huo mkuu huna; Kama umeshindwa kitu kidogo tu, kama Kutumia Jina lako Halisi Humu; Tutajuaje kama kweli hauli mwezi mmoja? Na je hujui utaratibu wa Ban humu? yaan upigwe ban kwa kauli yako tuu?? Ban inafanywa professionally sio kihisia.
 
Sijui kama ulichoandika umekisoma. IDs za JF zinamaana kubwa sana ndo maana unaona wengi hawapendi kuwa banned. Jima langu halisi halitakusaidia kama hili ambavyo halikusaidii.

Unasema ban inafanywa professionally unafahamu maana ya hilo neno profession? Sidhani.

Kama nimeweka nadhiri hii na Moderator wameona tayari nakiwa katika kifungo cha nadhiri yangu kwa kujitakia. Nachofahamu ni KUWA JOSEPH MBILINYI hatoweza kuwa Mbunge wa Mbeya uchaguzi huu. IT WILL NEVER HAPPEN.

Uwezo huo mkuu huna; Kama umeshindwa kitu kidogo tu, kama Kutumia Jina lako Halisi Humu; Tutajuaje kama kweli hauli mwezi mmoja? Na je hujui utaratibu wa Ban humu? yaan upigwe ban kwa kauli yako tuu?? Ban inafanywa professionally sio kihisia.
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli...
Tangu miaka 5 ya sugu,li.eangamizwa kwa namna gani?

Ikitakiwa utuambie namna lilivyoangamizwa katika uongozi wa sugu kwamba hata watakapompa tena atazidi kuangamiza.
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli...
Nasikia Amber Rutty, Nabii tito na Harmorapa nao wanataka kugombea kwa ticket ya sisiem?

Na kuna fununu kuwa watapitishwa kwa vigezo mnavyovijua ninyi
Ukistaajab ya stiv nyenyere..............
 
Sugu hawezi fua dafu mbele ya Dr Tulia. Nampenda Dr Tulia jamani daah💝💝💝💝
 
Nasikia Amber Rutty, Nabii tito na Harmorapa nao wanataka kugombea kwa ticket ya sisiem?

Na kuna fununu kuwa watapitishwa kwa vigezo mnavyovijua ninyi
Ukistaajab ya stiv nyenyere..............
Ile agenda yenu ya kurudisha viroba imefikia wapi?
 
Ambaruty anagombea Mtera,Nabii Tito anagombea Kinondoni na Harmorapa anagombea Tunduru wakurugenzi wameshapata maagizo ya kuwatangaza kuwa wameshinda.
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli.

Dkt. Tulia ni msomi, energetic, determined, focused na mwenye uwezo wa kuleta matokeo chanya katika Jiji la Mbeya. Hili halina ubishi. Wanambeya hawatakuwa tayari kufanya makosa.

Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF lakini pia nitaamua kutokula kwa muda wa mwezi mzima nikifunga kuwalilia Wanambeya kwa kuamua kuangamiza Jiji lao.
Mkumbushe asome hizo sheria na kanuni zenu
 
Attachments

  • IMG-20200708-WA0034.jpg
    IMG-20200708-WA0034.jpg
    46.5 KB · Views: 2
Ile agenda yenu ya kurudisha viroba imefikia wapi?
Tukiipata trillion 1.5 yetu mliyoichukua kimabavu tutaitumia kununulia hivyo viroba vya unga, siyo vibaya watanzania masikini wakipata kiroba kimoja kimoja, maana Milion 50 kila kijiji mliamua kutuongopea na kutuona sisi maboya
 
Huyu binti ajiandalie dawa za maumivu mapeema kabisa mbele ya rais wa Mbeya
 
Eti msomi
Usomi wa ukibaraka kutumikia mabwana wanaokutuma hata kama it's against the laws and ethics?

Hapo ndipo kilipo kipimo cha uimara
Pamoja na kuwa mwanasheria anatumika kuivunja hiyo hiyo sheria kwa nafasi yake na tumbo lake
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli.

Dkt. Tulia ni msomi, energetic, determined, focused na mwenye uwezo wa kuleta matokeo chanya katika Jiji la Mbeya. Hili halina ubishi. Wanambeya hawatakuwa tayari kufanya makosa.

Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF lakini pia nitaamua kutokula kwa muda wa mwezi mzima nikifunga kuwalilia Wanambeya kwa kuamua kuangamiza Jiji lao.
Usifanye hilo kosa kubwa la kumu-undermine Sugu, very weak politically, but very strong socially. Kwenye Ubunge, mtu ambayo ana strong social ties, huwa ana asilimia 90 ya uwezekano wa kumshinda mtu ambaye yuko politically strong but with moderate social ties. Mimi siyo mwanasiasa lakini kwa sababu ninaishi na kuyaona maisha kutokana na experience, naweza kusema hivyo.
Hata hivyo mimi pia natamani Dk. apate kiti cha Ubunge wa kuchaguliwa, kwenye Bunge lijalo
 
Vipi..... Bado una maoni haya haya?

Back
Top Bottom