Uchaguzi 2020 Tuseme Ukweli tu: Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

Uchaguzi 2020 Tuseme Ukweli tu: Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli.

Dr Tulia ni msomi, energetic,determined,focused na mwenye uwezo wa kuleta matokeo chanya katika Jiji la Mbeya. Hili halina ubishi. Wanambeya hawatakuwa tayari kufanya makosa...
Sugu alikua anabebwa na siasa za ukabila lakini kiukweli hamna kitu kichwani na hakuna alichowafanyia wanambeya. Kikubwa alichofanya ni kujenga hoteli na nyumba yake ya kuishi.
 
Unavyoongea utadhini tuna uchaguzi ulio huru na wa haki!!
Ndo sababu yenu hii sasa hivi. Mkishinda, mnakubalika, mkishindwa hakuna uchuguzi huru na haki. Sasa hivi mnapigwa hata Tume iwe nyumbani kwa mbowe kudaadeki.
 
Hivi Wasafwa wamepungua Mbeya mjini?
Kama sivyo, mshauri Tulia atulie na kusahau ubunge Jimbo la Mbeya mjini (jiji).
Siasa za ukabila zimepitwa na wakati. Subirini muone mziki
 
Tulia atamtuliza jambaka sugu akavute zake bange na Lema wajinga wale
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli...
Mkuu hivi bado una imani juu ya usomi kupitia umiliki wa shahada za uzamili na uzamivu. Usomi wa kariri za kimadesa ambao umezajana ktk teuzi za awamu ya tano.

Usomi huu umejipa sifa za kujipendeza tu kwa Mkulu ili waweze kutetea matumbo yao binafsi, bila hata ya kuwa na matokeo chanya yenye tija za kiutendaj. Jambo hili linapata kuthibitika zaidi kwa umahiri wao ktk kukariri wa madesa ya kinadharia kupitia taaluma zao zenye kukosa kutatua matatizo halisi ya wananchi kivitendo.
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli.

Dr Tulia ni msomi, energetic,determined,focused na mwenye uwezo wa kuleta matokeo chanya katika Jiji la Mbeya. Hili halina ubishi. Wanambeya hawatakuwa tayari kufanya makosa.

Ikitokea Dr. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF lakini pia nitaamua kutokula kwa muda wa mwezi mzima nikifunga kuwalilia wana Mbeya kwa kuamua kuangamiza Jiji lao.
Kabla hujaweka nadhiri, tulia na kufikiri kwa makini, ili usije kujutia huko mbele ya safari
 
Wewe upo iromba huko alafu unaongelea habari za mwanjelwa?
Hata hapo Uyole njia panda hadi uyole ya kati alafu nenda hadi Saye kwa Mbilinyi then anzia Soweto/Mwanjelwa sioni namna Dr. Tulia atatoboa kwa wale mabaharia. Hawamuelewi kabisa na vile si muongeaji mzuri atapata tabu sana kwa Mr Sugu wakati wa kampeni
 
Hata hapo Uyole njia panda hadi uyole ya kati alafu nenda hadi Saye kwa Mbilinyi then anzia Soweto/Mwanjelwa sioni namna Dr. Tulia atatoboa kwa wale mabaharia. Hawamuelewi kabisa na vile si muongeaji mzuri atapata tabu sana kwa Mr Sugu wakati wa kampeni
Twende na Sugu moto chini!
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli...
Hivi Urais wa Magufuli na ubunge kwa Tulia kuna mahusiano gani? Naona kila mgombea wa ubunge CCM kila akijinadi au kunadiwa anatumia visababu visivyo husiana na ubunge Bali Urais wa Magufuli.
 
Unasema Dr Tulia ni msomi, ana Phd ya Ubunge? Kama ni msomi si atumie elimu yake katika field yake aliyosomea. Usomi wake huo wote kitu gani amefanya katika eneo lake la kazi ambalo anakumbukwa nalo mpaka sasa hata tuamini kuwa atafanya maajabu katika jiji la Mbeya pindinakiwa Mbunge wao?

Bumge na baraza la Mawaziri la.Tanzania lina wasomi wengi.kuliko baraza la mawaziri la USA na UK yaunganishe pamoja. Tumewashinda kimaendeleo? Wacheni kupigia debe watu kwa kutuletea points zisizo na mashiko. Iko wazi kuwa Dr Tulia anagombania ubunge kwa lengo la kuwa Spika wa Bunge na hakuna jengine. Hao Wambeya hawezi kuwasaidia lazima awe Mbunge wao? Kutoa msaada kwa jamii sasa mpaka uwe Mbunge wao?

Tuna matatizo luukuki katika legal system na sheria mbovu walizozisimamia yeye na Ndugaye halafu unataka kutwambia ndiye mtu huyu atawasaidia Wanambeya. Atawasaidiaje kwa mfano? Tatizo la Wanambeya ndio tatizo walilonalo Wanatukuyu. Tatizo la Wanatukuyu ndio tatizo walilo nalo Wanageita..

Dr Tulia atalusanya kodi ili awaletee maendeleo au atatumia priveledge yake ku divert matumizi yaliyokuwa yaende katika hospitali mkoa wa Ruvuma azipeleke hizo hela Mbeya kuwahonga watu boda boda? Ni jukumu la Serikali kupeleka maendeleo na sio Mbunge. Mbunge hakusanyi kodi wa kujipangia bajeti.

Mara ngapi tushamsikia Sugu akiwapigia kelele sio wana Mbeya tu bali Tanzania nzima popote pale tulipo. Wacheni kuendelea.kulisha watu ujinga, you have been doing it for the last 58 years so its high time you told them.the truth!
 
Hivi Daktari Tulia ni mwanaume au mwanamke? samahan kwa kutoka nje ya mada.
 
Sifa ya kuwa mbunge Tanzania ni kujua kusimamia na kuandika. Usomi siyo sifa inayohitajika, wacha kupotosha wapiga kura wa Mbeya.
 
Back
Top Bottom