Uchaguzi 2020 Tuseme Ukweli tu: Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

Uchaguzi 2020 Tuseme Ukweli tu: Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

Sisi kama wanyakyusa hatuwezi kuongozwa na mwanamke, tena newbie she put Kama betina
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli.

Dr Tulia ni msomi, energetic,determined,focused na mwenye uwezo wa kuleta matokeo chanya katika Jiji la Mbeya. Hili halina ubishi. Wanambeya hawatakuwa tayari kufanya makosa.

Ikitokea Dr. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF lakini pia nitaamua kutokula kwa muda wa mwezi mzima nikifunga kuwalilia wana Mbeya kwa kuamua kuangamiza Jiji lao.
Atashinda kwa usimamizi wa jeshi la Polisi
 
Labda shetani atakupiga ban milele huko kwenye hinaya yake but hapa JF tunapita kama raia wengine ambao hawapo JF. Huo umilele unakujaje?
 
Atashinda sababu hamna tume huru.
Watamtangaza kilazima.Kama itakavyokuwa majimbo mengine.
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli...
Mugabe alikuwa na digirii tisa na alikuwa rais mbovu Afrika, siasa haiendi na viwango vya usomi ni uwezo wa kufikiri na kupanga, swali language kwako, Je, wewe unamuelewa Mwakyembe kwenye siasa?
 
Mbeya hata bila tume huru , Tulia hawezi kutoboa...wanyakyusa ,wasafwa, wakinga na wamalila hatuipendi ccm
Wewe tu ila sisi wengine tunaipenda. Tuna taka barabara hii kama shamba la viazi kuelekea songwe iwe kama town zingine. Kutoka nanenane jam tupu mbunge ana rap tu akwendeeee, bora frat sreen kuliko hii analog ya chogo

Mwanaume gani ana tako
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli...
It’s too obvious... Liwake jua, inyeshe mvua, hakuna chaguo la Magu ambalo hlitapita.
 
Hebu tucheze
"kanyaga kanyaga, kanyaga kanyaga"
Asante DJ
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli...
Nikumbushe October.
 
Back
Top Bottom