Uchaguzi 2020 Tuseme Ukweli tu: Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

Uchaguzi 2020 Tuseme Ukweli tu: Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

Yeye anatazama alicho agizwa kuandika tu
Wakati nasoma physics unapofanya comparison ya tabia fulani za baadhi ya vitu, lazima useme kama 'standard temperature and Pressure (STP)" remains constant. Sasa hapa umefikiria kama kutakuwa na "level playing field" ?
 
Wewe upo Ilomba huko alafu unaongelea habari za Mwanjelwa?
Kwa kweli sisi hapa Mbeya tunatamani uchaguzi hata uwe Julai tumechoka na Sangu sec product. Ni shidaaaa. Cha Arusha mnoo
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dr. Magufuli.

Dr Tulia ni msomi, energetic,determined,focused na mwenye uwezo wa kuleta matokeo chanya katika Jiji la Mbeya. Hili halina ubishi. Wanambeya hawatakuwa tayari kufanya makosa...
chini ya tawala za kiimla, mshindi hapatikani kwa kuwa amepata kura nyingi. anapatikana kupitia mtangaza matokeo. ndipo atakapoponea Tulia.

ila ikitokea hivyo, wajue tu Mbeya inaweza kuwa Crimea ya Bongo maana Sugu ni rais wao kule!
 
Wewe usidanganye watu, huyo mwanamke hawezi kushinda ktk uchaguzi ulio huru na haki, hao ni wa kutangazwa mshindi kwa mtutu wa bunduki, hamna kitu hapo.
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli.

Dr Tulia ni msomi, energetic,determined,focused na mwenye uwezo wa kuleta matokeo chanya katika Jiji la Mbeya. Hili halina ubishi. Wanambeya hawatakuwa tayari kufanya makosa..
Peleka bangi mbichi kwenu, kwani siutafungua account kwa ID mpya, pia who cares kutokula kwa msukule kama wewe, sana sana tutafurahi tuu kupunguziwa viumbe wenye akili za ovyo kama wewe..
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli...
Hawez shindwa kwa sabab wenye mamlaka ndo wanaamua na sio wananchi
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli...
Mbona hilo ni too obvious...... Wote tunajua kuwa hakuna Wabunge wa upinzani watakaoshinda zaidi ya Nafasi chche watakazopewa kwa maelekezo toka juu.
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli...
Wewe huzungumzii demokrasia ya Vyamavingi, unazungumzia mabavu na nguvu zitazotumika kulazimisha ushindi.

Vv
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli...
Mkuu njoo na jina lako halisi
 
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli....
Labda kwa unfair play, na magoli ya mkono. Hapo uko sahihi kuguarantee Mkuu. On the contrary you are very far from the truth. Huyo Tulia hakubaliki kiasi unachofikiri wewe. Hajulikani hapa mjini.
 
Pata picha hapa, watu wasivyo mtaka huyo Tulia, alafu unadhani Kuna kupendwa.

Walishatangaza kuwa unatangazaje upinzani wakati, nimekuteua Mimi.
Amesoma hajaelimika lakini
 
Ikitokea Dr. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

😂😂😂😂☝️☝️
 
Kwa hiyo kwa sasa na hata huko nyuma ambapo hakuwepo huyo Turia, mkoa wa Mbeya ulikuwa umeangamia na kuharibika? Sifa nyingine mnazowapa watu mtakuja kukufuru pasipo faida yeyote na mwisho kiama kuchomwa moto kwa kumtukuza binafamu kuliko Mungu.

Back
Top Bottom