Tuseme ukweli tu, Mike Tyson hatembei kwa Evander!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukuta..
Ah ah ah...ukuta km mkate kwnye chai
 
Ah ah ah...waambie mkuu
 

Tambi na minyoo duh😀
 
Umesoma lakini nilicho kiandika??????

Kwani sijazungumzia kuwa wanacheza uzito tofauti??


Mimi nimeweka assumpption kwamba ingetokea wakawekwa pamoja , tyson angekaa tu kama vile big show alivyo kallishwa na floyd
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naanza kuamin huu uzi n wa watoto,
Hadi mechi za entertainment za kupangwa za kna big show..
Aya ngoja nkutajie mabondia wengne wakali,kna wayne rooney alimpga wade barret na stephen ammel muigzaj wa arrows alpgana tag team match akashnda...kna rooney fasta tu wangempga may runner k.o
 
Ile ya makonda na francis cheka lini mkuu?
 
Nauza projector kwa 800000tshs mpya haijatumika.
Ina weza kutumia flash. Memory card, hdmi,
Ina speaker apoapo
Pia inaweza kutumia earphones.
Inaweza kuunganishwa na simu kwa wifi kudispaly content za simu.
Inaweza kuunganishwa kwa redio na tv
Kwa taarifa zaidi na picha za projector anaye vutiwa ani txt Facebook.
Nipo dar Es salaam.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124][emoji125][emoji125][emoji125][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji142][emoji87][emoji85][emoji86][emoji56][emoji42]
 
Nimegundua uzi huu kuna watoto waliozaliwa 98, 99, 2000 ... Muda ambao Iron Mike alikua akielekea ku retire.


Bila hata aibu mnamtaja Floyd kwa Mike.. Watoto kueni na adamu. Huyo Floyd mtu anaezikimbia punch anarukaruka jogoo. Aaaahhh...

Kwa taarifa yenu Floyd hajafika hata kwa Prince Naseem Hemed.
 
Evander alinikera sana kwa kumkumbatia Tyson kila wakati hadi akang'atwa sikio,Tyson mwamba bana
 

Haya maisha hayana formula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…