Tuseme ukweli tu, Mike Tyson hatembei kwa Evander!

Tuseme ukweli tu, Mike Tyson hatembei kwa Evander!

Mkuu nenda kacheki hata kati yao kwani Tyson kama mechi alishinda kwa point maishani mwake hazifiki 10, lets say hazifiki 8, wakati Mayweather karibu nusu ya ushindi wake ni kwa point, japo nakubali uwezo wake lakin kumpiga kibaba Tyson ingekuwa ni kazi kama vile chadema kufanya UKUTA kwa sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukuta..
Ah ah ah...ukuta km mkate kwnye chai
 
Mike iron tyson Msimfananishe na watu wa hovyo hovyo jamani

Tyson zake zilikua k.o kama anacheza mieleka

akiwa na miaka 19 ashakua bingwa wa dunia wa uzito wa juu ukichelewa round ya kwanza unaweza ukakuta watu wanaondoka huku wakicheka

kengele ikigongwa yeye ndio wa kwanza katikati

tyson kiboko
Ah ah ah...waambie mkuu
 
Duh! Amir khan tena...acha kumfananisha tyson na vitu vya kijinga...unafananisha tambi na minyoo??? Mabondia wa middle weight hawezi fananishwa na heavy weight...halafu huyo amir khan hana uvumilivu rahisi sana kupigwa knock out!!! Middle weight mkali baada ya floyd ni yule mmexico anaitwa saul/canelo alvarez

Tambi na minyoo duh😀
 
Umesoma lakini nilicho kiandika??????

Kwani sijazungumzia kuwa wanacheza uzito tofauti??

Mimi nimeweka assumpption kwamba ingetokea wakawekwa pamoja , tyson angekaa tu kama vile big show alivyo kallishwa na floyd
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naanza kuamin huu uzi n wa watoto,
Hadi mechi za entertainment za kupangwa za kna big show..
Aya ngoja nkutajie mabondia wengne wakali,kna wayne rooney alimpga wade barret na stephen ammel muigzaj wa arrows alpgana tag team match akashnda...kna rooney fasta tu wangempga may runner k.o
 
Ile ya makonda na francis cheka lini mkuu?
 
Nauza projector kwa 800000tshs mpya haijatumika.
Ina weza kutumia flash. Memory card, hdmi,
Ina speaker apoapo
Pia inaweza kutumia earphones.
Inaweza kuunganishwa na simu kwa wifi kudispaly content za simu.
Inaweza kuunganishwa kwa redio na tv
Kwa taarifa zaidi na picha za projector anaye vutiwa ani txt Facebook.
Nipo dar Es salaam.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124][emoji125][emoji125][emoji125][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji142][emoji87][emoji85][emoji86][emoji56][emoji42]
 
Nimegundua uzi huu kuna watoto waliozaliwa 98, 99, 2000 ... Muda ambao Iron Mike alikua akielekea ku retire.

Bila hata aibu mnamtaja Floyd kwa Mike.. Watoto kueni na adamu. Huyo Floyd mtu anaezikimbia punch anarukaruka jogoo. Aaaahhh...

Kwa taarifa yenu Floyd hajafika hata kwa Prince Naseem Hemed.
 
Evander alinikera sana kwa kumkumbatia Tyson kila wakati hadi akang'atwa sikio,Tyson mwamba bana
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124][emoji125][emoji125][emoji125][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji142][emoji87][emoji85][emoji86][emoji56][emoji42]

Haya maisha hayana formula.
 
Back
Top Bottom