Tuseme ukweli tu, Mike Tyson hatembei kwa Evander!

Mkuu hebu mtake radhi Tyson
Na huo ni uchochezi
Tyson wa kawaida tu , angalia ngumi anazopigwa Tyson alaf muweke floyd alaf vuta picha kama zile ngumi zingempata floyd

Jibu utallopata ni kuwa floyd mpaka uupige uso wake ufanye kazi ya ziada

Na kwa kasi ya Tyson si rahisi kumkalisha floyd
 
Mi ujanani hata nilikuwa simjui, ika kwa ngumi alizo kuwa ana rusha anko Tyson sionu kama Mayweather ana ingia, plus Tyson alikuwa ana attack na bado anakuwa salama kwenye kujilinda
Basi tenga muda uumtizame alaf ndo utamjua vizuri,

Wewe kuna magwiji kama Oscar de la hoya, maidana alivyo na kasi vile. bila kumsahau pacquio lakini walisanda

Kuna mabondia wana onekana machachali ila wakikutana na floyd wanapigwa kizembe tu
 
Tyson wa kawaida tu , angalia ngumi anazopigwa Tyson alaf muweke floyd alaf vuta picha kama zile ngumi zingempata floyd

Jibu utallopata ni kuwa floyd mpaka uupige uso wake ufanye kazi ya ziada

Na kwa kasi ya Tyson si rahisi kumkalisha floyd
Okey tuseme ndio wana cheza mechi Tyson na floyd

Floyd ni mzuri kwenye pound to pound, ana jua namna ya kuushusha mchezo na kuupooza ni technical winner, Tysoni katika ubora wake ana shambulia, ana mkono mzito sana , alikiwa hana tabia ya ku pooza mchezo round ya kwanza, na alikuwa ana ngumi nzito, wakati huo ukipigana na Tyson lazima KO ikuhusu, ilikuwa ukikaza sana round za mwisho ndo ana upoza mchezo.

Mayweather kwa ngumi zake asinge weza kumuumiza Tyson, ila Tyson alihitaji ngumi chache kumtoa ngeu Flyod, hivo kuna hatari Floyd aka pigwa kwa KO, ila kwa kuwa Floyd naye ana weza kuzuia akistahimili round ya kwanza hadi ya 6 tuseme, angeweza kumfrustrate Tyson na kumpiga kwa point(kitu ambacho kwa kipindi cha Tyson akiwa juu hakuna mwananume aliye weza kufanya)

*hapo je!!?
 
We floyd ana ngumi nzito wewe, au unavyoona wanacheza uzito tofauti ukajua hata ngumi yake pia nyepesi, muulize pacquiao alivyovunjwa mkono akasingizia aliumia kabla ya pambano wakati ukitazama vizuri unaona kabisa aliumia kipindi wanapigana
 
Mkuu nenda kacheki hata kati yao kwani Tyson kama mechi alishinda kwa point maishani mwake hazifiki 10, lets say hazifiki 8, wakati Mayweather karibu nusu ya ushindi wake ni kwa point, japo nakubali uwezo wake lakin kumpiga kibaba Tyson ingekuwa ni kazi kama vile chadema kufanya UKUTA kwa sasa
 
Mike iron tyson Msimfananishe na watu wa hovyo hovyo jamani

Tyson zake zilikua k.o kama anacheza mieleka

akiwa na miaka 19 ashakua bingwa wa dunia wa uzito wa juu ukichelewa round ya kwanza unaweza ukakuta watu wanaondoka huku wakicheka

kengele ikigongwa yeye ndio wa kwanza katikati

tyson kiboko
 
Hicho sio kigezo, mbona maidana ushindi wake mwingi ulikuwa wa KO,lakini alipigwa mara mbili na Floyd

Wewe floyd hata sare hajawai kutoa zaidi ya kushinda tu

Alaf kitu kingine Tyson alikuwa ana kutana na vitoga tu, we angalia lenox lewis alivyomgalagaza vibaya
 
Kwan floyd alikuwa bingwa akiwa na miaka mingapi?? Si hiyo hiyo kumi na tisa
 
Hicho sio kigezo, mbona maidana ushindi wake mwingi ulikuwa wa KO,lakini alipigwa mara mbili na Floyd

Wewe floyd hata sare hajawai kutoa zaidi ya kushinda tu

Alaf kitu kingine Tyson alikuwa ana kutana na vitoga tu, we angalia lenox lewis alivyomgalagaza vibaya
Tyson wa kipindi cha Lennox ni sawa na Beckam wa LA Galaxy, hata siku shangaa alivopigwa, tena kwa point. Mayweather kwa kweli haja nishawishi, he is good ila akimuona Tyson asithubutu hata kuongelea ngumi
 
Mimi nadhani hakuna Kama Tyson!
Huyo Evander alimpatia Tyson pale ambapo Tyson alishachoka!
Kama wakati Tyson alipokuwa kwenye ubora wake, huyo Evander asingefurukuta!!!
 
Evander acha nae huyo jamaa n habari nyingine. Ila boxer Wa karne ni Lewis
 
Lennox Lewis ndo mtemi wao. Tyson alimkimbia Lennox Lewis kiasi cha kumpa mkanda bila pambano
 
evanda kampita
Mimi nadhani hakuna Kama Tyson!
Huyo Evander alimpatia Tyson pale ambapo Tyson alishachoka!
Kama wakati Tyson alipokuwa kwenye ubora wake, huyo Evander asingefurukuta!!!
tyson miaka kadhaa wewe acha kuota mchana
 
Back
Top Bottom