technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Chama kimerudi kwa wenyewe. Endeleeni kuwa na subira.Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini...
Orodha ya hapa chini ni mifano halisiaKwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini...
ZAMU ya WAISLAMU ni mjinga tu atapiga Angalia VIONGOZI wa Mkoa wa DARKwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini.
Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu.
Kama huu uchaguzi umefanyika kumlridhisha Rais basi watu wamempaka matope Rais.
Tanzania sio nchi ya kidini huu uliofanyika ni uchaguzi ambao unaacha maswali mengi sana sana.
Waislam tupu walipitishwa kugombeaKwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini...
Kama uligombea ukapigwa za uso usilete ujinga wa kutafuta excuses za kipumbavu.Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini...
Ni mjinga tu anaetazama/kufikiri mambo kwa mwamvuli wa udini...hivi hata wakiwa waislam au wakristo wote ndo sisi waislam au wakristo tutaneemeka?Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udin...
Kinachofuata ITV ni hoja ya Tanzania kujiunga na Organization of Islamic Countries (OIC) na Zanzibar kuwa mwanachama wa FIFA na kupewa kiti UN.Orodha ya hapa chini ni mifano halisia
Mwenyekiti Taifa - Samia Suluhu Hassan...
Sasa hivi CCM iko kwenye Islamic mode.Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini...