Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Uongo mtupu. Hamna wakati wamisheni wameacha kumkemea mtu kwa sababu ni mmisheni mwenzao. Hata pale wachungaji wao walipodai kuwa ni chaguo la Mungu waliwakemea. Teuzi na uongozi wa wakina Polepole, Sirro, Makonda, Sabaya n.k. zilikemewa kama ambavyo wakina Bashiru, Hapi n.k walivyopigiwa kelele. Hii ni tofauti na wengi wa wenzetu ambao kwenu dhana ya Umma ni ya muhimu kuliko utaifa.Wakiristo walikuwa wakimkemea Magufuli ktk ukabila na Ukanda tu ila kwenye udini walikuwa wakimtetea
Haya mambo ya false equivalence hayatawafikisha mbali. Mimi ningedhani kuwa mngewafunda hao waliopata uteuzi ili wasiwaangushe maana bila shaka kuna wapuuzi ambao watahukumu jamii yote ya waislamu kwa mapungufu yao.
Amandla....