Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Marais waliobakia wote ni wa dini moja tu.ZAMU ya WAISLAMU ni mjinga tu atapiga Angalia VIONGOZI wa Mkoa wa DARView attachment 2429664
We nae tumekuchoka kila kitu udini udini chuki zako dhidi ya uislam hazitokufikisha popote wewe mtu wa Mara.......Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini.
Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu.
Kama huu uchaguzi umefanyika kumlridhisha Rais basi watu wamempaka matope Rais.
Tanzania sio nchi ya kidini huu uliofanyika ni uchaguzi ambao unaacha maswali mengi sana sana.
Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini.
Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu.
Kama huu uchaguzi umefanyika kumlridhisha Rais basi watu wamempaka matope Rais.
Tanzania sio nchi ya kidini huu uliofanyika ni uchaguzi ambao unaacha maswali mengi sana sana.
Ngoja nikuongezee, Mwenyekiti wa CCM Dar ni Abbas Mtemvu Mwislamu pia.Orodha ya hapa chini ni mifano halisia
Mwenyekiti Taifa - Samia Suluhu Hassan
Makamu Mwenyekiti Bara - Abdalhaman Omari Kinana
Makamu Mwenyekiti Zanzibar - Ali Mohamed Shein anafuata Hussein Ali Mwinyi
Mwenyekiti Wazazi - Fadhili Rajabu Maganya
Makamu Mwenyekiti Wazazi - Doto Iddi Mabrouk
Mwenyekiti Vijana Taifa - Mohammed Ali Mohammed
Makamu Mwenyekiti Vijana Taifa - Rehema Sombi Omary
Orodha nyingine inakuja
Huo ndio ukweli na inaonekana agenda kuu ya mama ni kupromote dini yake na Uzanzibari.Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini.
Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu.
Kama huu uchaguzi umefanyika kumlridhisha Rais basi watu wamempaka matope Rais.
Tanzania sio nchi ya kidini huu uliofanyika ni uchaguzi ambao unaacha maswali mengi sana sana.
Haya mawazo hayatakiwi kuwepo kwa wa Tanzania. Pia, walio na madaraka hawaruhusiwi kufanya mambo yanayoweza kuleta mawazo ya udini katika vichwa vya wa Tanzania.
Huyo alileta udini kuliko hata ukabila, sema kwa kuwa alifavor watu wa dini yenu hilo mlilifumbia machoalikuja wa kuleta ukabila na ukanda akaingia wa kuleta udini na tunasubiri wa kuleta utajiri
Zilikuweko lakini haukutaka kuzisikia. Magufuli alilaumiwa kwa vyote, udini na ukabila. Kama vile ambavyo Chadema inalaumiwa. Ukweli ni kuwa wako watanzania wengi ambao dini na kabila ni vitu muhimu kwao. Kwenye hili la sasa ni vigumu kuona namna gani huo upendeleo ulifanyika. Wanachotakiwa kufanya viongozi wetu ni kuonyesha kwa vitendo kuwa hizi shutuma ni za kipuuzi kwa kuongoza bila kuangalia dini au kabila la anaowaongoza. Wachina wanasema " haijalishi rangi ya paka, kilicho muhimu ni kuwa anakamata panya".CCM siyo jumuia, kigango, Parokia wala Jamaati. wanachama wa CCM wamechagua viongozi wanaowataka.
By the way wakati Magufuli anajaza Wakiristo serikalini mbona hizi kelele hatukuzisikia?
Acha uongo Mwenyekiti Baraza la wazee ni MuislamWaislam wana udini sana, angalia list ya chama chetu CHADEMA walivyojipa vyeo vya juu hapo chini:
1) Mwenyekiti taifa Freeman Mbowe (muislam)
2) Makamu mwenyekiti Tundu Lisu (muislam)
Makamu mwenyekiti kule Zanzibar tumemuweka mkristo mmoja ili kuwazuga watanzania wasishtuke kuhusu udini wetu
3) katibu mkuu John Mnyika (muislam)
List ni ndefu ila acha niishie hapa.
Peter Msigwa (muislam) huyu aliwahi kuwa hata na msikiti wake pale Iringa, lakini kwa sababu ya udini wetu tumemkumbatia aendelee kutupa darasa waumini wake chamani.
Huko ACT Wazalendo ndio tuko makkah kabisa, kuanzia kiongozi mkuu wa chama hadi mfagiaji ni wenyewe watupu.
Waislamu walipokuwa wanalalamika kuhusu udini wa Magufuli mlikuwa mkimtetea kuwa hatuteui masheikh wala mapadriZilikuweko lakini haukutaka kuzisikia. Magufuli alilaumiwa kwa vyote, udini na ukabila. Kama vile ambavyo Chadema inalaumiwa. Ukweli ni kuwa wako watanzania wengi ambao dini na kabila ni vitu muhimu kwao. Kwenye hili la sasa ni vigumu kuona namna gani huo upendeleo ulifanyika. Wanachotakiwa kufanya viongozi wetu ni kuonyesha kwa vitendo kuwa hizi shutuma ni za kipuuzi kwa kuongoza bila kuangalia dini au kabila la anaowaongoza. Wachina wanasema " haijalishi rangi ya paka, kilicho muhimu ni kuwa anakamata panya".
Amandla...
Kwa hiyo kwako wewe kelele mpaka zipigwe na wakristu ndio unazisikia? Magufuli alipingwa na alikosolewa na wakristu wenzake wengi tu wakishirikiana na waislamu. Sasa hivi wengi wa waislamu waliokuwa critical wakati ule ama wamenyamaza, wamepunguza sauti au wanakataza asikosolewe kabisa.Waislamu walipokuwa wanalalamika kuhusu udini wa Magufuli mlikuwa mkimtetea kuwa hatuteui masheikh wala mapadri
Sasa kwenye chaguzi hizi za utalaumu udini kivivipi wakati watu wamechaguliwa kwa kura?
Na waliogombea walikuwemo watu wa dini zote!
Nadhani wana CCM wameamua kuchagua watu wanaowataka. Hayo ya kuangalia dini ya mtu hayamo katika miongozo , katiba na kanuni za CCM.
Kama mnataka habari za kubalance dini za watu katika teuzi, ajira, na fursa mbalimbali serikalini basi tuliweke katika katiba mpya au sheria zijazo. Lakini kwa sasa liko kama lilivyo
Naona unachanganya kachumbari na kande kidogoAcha uongo Mwenyekiti Baraza la wazee ni Muislam
Mwenyekiti BAWACHA ni Sharifa Suleiman Muislam
BAVICHA uchaguzi uliopita
Makam mwenyekiti Moza Ally Muislam
Katibu mkuu Nusrat Hanje Muislam
Hapo sijataja naibu mwenyekiti na naibu Katibu kwa upande wa Zanzibar ambao nao wote ni waislam.
So Mkristo alikua Kaunya na Pambalu peke Yao kwenye nafasi almost 8 za Bavicha kitaifa!!!
Avatar yako tu mkuu inaonyesha jinsi ulivyo. Unasukumwa na chuki. Mr. Crimea jadili mambo kama great thinker and be fair.Ona hili vaa kobaz lilivyofura
Avatar yako tu mkuu inaonyesha jinsi ulivyo.Unasukumwa na chuki.Mr.Crimea jadili mambo kama great thinkerOna hili vaa kobaz lilivyofura