Tusherekee views million 100 za Zuchu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ngoja nijifanye sioni Kama una sura ya holiday...Sawa kuanzia Leo wewe ni mr.handsome😍
Thank you Mrs barakoa..😜
 
Kama waisibii ni maji basi, I'm like Atlantic
I got them motherfvckers flyin' across the Atlantic
I know Pablo, Noriega The real Noriega, he owe me a hundred favors!
I ain't petty nigga, we buy the whole thang
See most of my niggas really still deal cocaine...
 
Huyu nae, utasema sijui maana ya forum sasa au? Okay anyways endelea na ujuaji wako Shabiki wa Zuchu


No wonder hujaona hata hiyo statement yako ya Sisi kama jamii forums imefutwa [emoji23][emoji23]
Mkuu tunaomba urudi kwenye cheo chako aisee...
 
Yani mkusanyiko wa videos zake zooote hadi zile za insta live na vi clip anavyo post kiujumla ndio inafikia hiyo 100M

Usihesabie Hizo video unazoziona zenye views 2M ambazo ziko public zimezidiwa na video ya amberruty ambayo iko privacy....
 
unaposema msaanii wa kike una maana gani?
hujui wanao mwangalie wengi ni wanaume na wanaangalia zaidi vi-chiuchu vyake na maungo kuliko hata kuskiza mziki wake?
 
Yani mkusanyiko wa videos zake zooote hadi zile za insta live na vi clip anavyo post kiujumla ndio inafikia hiyo 100M

Usihesabie Hizo video unazoziona zenye views 2M ambazo ziko public zimezidiwa na video ya amberruty ambayo iko privacy....
Zimehesabiwa Ni video za mziki tu.
 
Estimated to 55+ millions
Hakuna hesabu kama hizo, You tube hawalipi hela bali Wanaoweka Matangazo ndio wanakulipa kadri tangazo litakavyoangaliwa na anayetazama Video yako.

Na kuna hesabu zake kama Mtazamaji wako kaangalia tangazo lote mpaka mwisho au ilipofika tu 'skip ad' aka skip?.

Anaweza Mtu kuwa na Views laki moja lakini Matangazo yameangaliwa yote ili hali Mwingine ana 1m Views lakini Masela wame 'skip ad' Matangazo yote....huyo wa Laki moja atanufaika kuliko huyo wa 1m.

Ila kuwa na Views nyingi na nafasi ya kupata inakuwa juu.
 
Na mi ndio najuaga hivyo sasa nilipokutana na hii mpya imenibidi nisizi tu labda pengine huu ni utaratibu mpya ulioweka karibuni

Na ndio maana kuna ile adsense account ambayo ndio inapokea malipo kulingana na ads ambazo zinatumwa kwenye sites zako au video zako

Ukiachana na hiyo fact ya ku skip hizo ads kuna wale wajuba wazee wakutumia adblocker kwenye browser zao hawa jamaa pia wanamchango mkubwa kufanya uslilipwe na kusababisha tembele lisichemke nyumbani

Halafu sio kila mara zote unapoangalia hiyo video ads inakuja, kuna time unafika mpaka mwisho na hujapata hata ads

Pili wenye benefit za kupata angalau ads za uhakika ni wale ambao wana upload video zenye dakika nyingi.

Mfano ads inaweza ikawekwa katikati ya video wakati unaangalia au mwishoni hii inatoa advantage kwa youtuber kuwa na double chance ya kuvuna mpunga kwamba inaweza ikatokea mtazamank aka skip ile ads ya kwanza ila ya pili ikaja katikati ya video inaweza isimpite tofauti na video yenye dakika tatu haitawekwa ads zaidi ya moja tu na pia ads yenyewe huwekwa mwanzoni mwa video

Hiki ulichokiandika ni ukweli 1000%
 
Ngoja niende youtube nione huyo zuchu hua anaimba nyimbo gani.
 
mi simuelewagi kabisa
hongereni mnaomuelewa
 
Tatizo anaweka content zingine anachomwa sindano , mara anaoga , ingekuwa ni content ya mziki tuu hapo Sawa ,post zingine za Kula mapapai tabata barakuda ,
Naomba link hiyo ya kuchomwa sindano
 
Shida YouTube wajanjawajanja sana kama kanjibai. I tune wanalipa vizuri sana. Hili somo ukiwa ndani ndio utaelewa vizuri. Hii mitandao mingine kuangalia mziki unalipia ila YouTube ni bando tu. Wabongo mitandao mingine hawaitaki sababu utaambiwa kutazama video hii pakua kwa $0.6 kitu ambacho mmbongo hawezi kulipa. Hivyo msibabaike na viewers jamani. Hao YouTube wanatoa hisani tu, hesabu ni tofauti na wengi wanavyojidanganya.hapo Zuchu kama kalamba ni $15000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…