Photo editor inayo zungumziwa hapa ni hiiPhoto editor ziko nyingi sana ,ni vizuri unisaidie kuniwekea link au hata screenshort ya hiyo app,samahani kwa usumbufu wowote chief!
Bango
Nime update app nimefanyia kazi baadhi ya mapendekezo yakoMkuu App yako ni nzuri, sababu ni ya nyumbani, na simple kutumia lakini sasa ambacho sijakipenda ni
1. Rangi ulizotumia hasa kwenye calender. Ile blue ya fertility window na blue ya ovolution days kama hazileti muonekano mzuri.
2. Siku za hatari huwa ni siku tatu kabla na siku tatu baada ya ile siku ya kati kati jumla zinakuwa 7 na ongeza siku moja ya kujuhami kabla na baada ya siku ya katikati ( hii ni kwaajili ya wale wanao panga uzazi wa mpango kwa kutumia kalenda) lakini kwenye app naona kama siku za hatari ni chache sana.
Mfano angalia picha hapa chini ni mzunguko wa mtu mmoja katika katika app yako na app inaitwa my calendar
Hapo inaonesha 27 bado yupo safe day ( low chance of getting pregnancy)
Hapa inaonesha yupo siku ya hatari ( medium chance of getting pregnancy)
3. Kipengele cha pin code hakifanyi kazi.
Kweli kabisa yaniMkuu hii link haikubali ikifika nusu inasimama haiendelei kudownload tena.
Hii nilidownload nimeshindwa kuielewa hata kidogoPhoto editor inayo zungumziwa hapa ni hii
Download: Photo Editor - Android Apps on Google Play
Ila kuitumie uwe mjanja vinginevyo utaiona haina jipya.
Hata mi siielewi , inanijaza wengeHii nilidownload nimeshindwa kuielewa hata kidogo
Labda Hanspal atueleweshe hapa hatua kwa hatuaHata mi siielewi , inanijaza wenge
Bango
Ipo play store speed camera[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] umefanikiwa? Ukipata ni pm mkuu
Mbona mimi imegomaHebu jaribu hii uninstall kwanza hiyo.
KingRoot 4.8.2 APK Download by KingRoot Studio - APKMirror
Ipo playstore. Unaweza hakikisha
Na APTOIDE hivo hivo ....
Bila rooting huwez enjoy simu yako. Sema tu wengi hawana elimu na hii ishu.
Na mimi pia inanipa majibu hayohayoinanipa majibu hayo
I rated it 5 stars, very helpfull App!
Labda Hanspal atueleweshe hapa hatua kwa hatua
Hata mi siielewi , inanijaza wenge
Bango
Wakuu hiyo app ni zaidi hapo unavyo iona, zipo picha nimezi edit kwahiyo app ila kuziweka hapa siwezi.Hii nilidownload nimeshindwa kuielewa hata kidogo
Mkuu kuizip picha ndo kitu gani? Ila samahani kwa usumbufu!Wakuu hiyo app ni zaidi hapo unavyo iona, zipo picha nimezi edit kwahiyo app ila kuziweka hapa siwezi.
2.Kuhusu kukuelekeza ningependa na wewe uwe mbunifu pia, sina hakika kama naeleweka. wapo nilio waelewesha baadhi ya njia za kutumia hiyo app, njia nyingine ni wewe mwenyewe kulingana na wazo ulilonalo kichwani kuhusu picha ikae ikae vipi.
Na lamsingi kabisa ni kujua kila kipengele mule kwenye hiyo app kina maana gani.
Hizi ni faida za hiyo App
-Kubadili rangi zapicha yako
-kubadili background ya picha yako
-Kuweka au kutengeneza maandishi kwenye picha
-Kubadili sura au sehem yoyote ya mwili wako na kuweka vya mtu mwingine
-Kutengeneza logo/badge mbali mbali
-ku invert, crop, nk
-kubadili picha au maandishi uliyoyaweka ktk mfumo wa picha kuwa pdf.
-unaweza itumia kama video play na uka cupture picha kutoka kwenye hiyo video unayotazama
-Ku unganisha picha yako na mtu mwingine mkaonekana mlipiga pamoja.
- Kutengeneza animation GIF
- Ku compress to zip picha zako
Matumizi ni mengi sana kulingana na wewe unataka picha yako iweje.
Mimi nataka hapo kwenye kubadilisha backgroundWakuu hiyo app ni zaidi hapo unavyo iona, zipo picha nimezi edit kwahiyo app ila kuziweka hapa siwezi.
2.Kuhusu kukuelekeza ningependa na wewe uwe mbunifu pia, sina hakika kama naeleweka. wapo nilio waelewesha baadhi ya njia za kutumia hiyo app, njia nyingine ni wewe mwenyewe kulingana na wazo ulilonalo kichwani kuhusu picha ikae ikae vipi.
Na lamsingi kabisa ni kujua kila kipengele mule kwenye hiyo app kina maana gani.
Hizi ni faida za hiyo App
-Kubadili rangi zapicha yako
-kubadili background ya picha yako
-Kuweka au kutengeneza maandishi kwenye picha
-Kubadili sura au sehem yoyote ya mwili wako na kuweka vya mtu mwingine
-Kutengeneza logo/badge mbali mbali
-ku invert, crop, nk
-kubadili picha au maandishi uliyoyaweka ktk mfumo wa picha kuwa pdf.
-unaweza itumia kama video play na uka cupture picha kutoka kwenye hiyo video unayotazama
-Ku unganisha picha yako na mtu mwingine mkaonekana mlipiga pamoja.
- Kutengeneza animation GIF
- Ku compress to zip picha zako
Matumizi ni mengi sana kulingana na wewe unataka picha yako iweje.
Wangeongeza na EATV ingekuwa poa sana.I rated it 5 stars, very helpfull App!
Mfano una picha zako kama 100 hivi inazifungia kwenye kabeg au bahasha.Mkuu kuizip picha ndo kitu gani? Ila samahani kwa usumbufu!
Bango
Sio simple kama unavyo dhaniMimi nataka hapo kwenye kubadilisha background