Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mabadiriko yanatokea kutokana na hitaji lako mfano unahitaji call recorder utaipata ukiwa rooted
Bango
Sawa nahitaji sana ile kufuta system app ambazo zinamaliza nafasi maana simu ina gb 16 system inatumia 10gb
 
Habarini wakuu nimefanikiwa kuroot j8 sasa nauliza apps gani niweke niione simu yangu tofauti? maana now naona ipo vile vile tu
Mkuu kuwa makini sababu une root simu lkn hujajua why umefanya hivyo.
So uwe makini usifanye kitu kama hujui matokeo yake hasa wakati wa kufuta hizo app ningeshauri kwanza install TWRP kisha fanya backup ya hiyo rom yako ili ikitokea ume brick simu yako basi una restore rom yako.
 
Sawa nahitaji sana ile kufuta system app ambazo zinamaliza nafasi maana simu ina gb 16 system inatumia 10gb
Zingatia ushauri wangu usifute chochote ktk hiyo simu yako hadi uinstall Twrp na ufanye backup ya rom yako (Inahitaji naelekezo) kisha itunze kwenye memory flash ama pc.
Hapo sasa waweza futa app au kuweka customer roms nk uki haribu simu huna haja ya kwenda kuflash nali ina restore tu rom yako.
 
KWA WATUMIAJ WA BLACKBERRY
MSAADA KUUNGA KIFURUSHI KWA KUTUMA TXT ILE "BBS" KWENDA NAMBA GANI
 
Nimejaribu kuinstall hyo twrp naona inaleta chenga chenga tu, nimecheki pia youtube still sijagain kitu hasa hasa kwa kuipata hyo twrp alafu nimeweka adaway inakataa kuendelea inadai hvi
Unapatikana wapi mkuu labda nikuletee unifanyie ww? ngoja niiunroot kwanza hadi nitakapo kupata my No's 0716561026
 
Mkuu screen locker za finger print J8 haina hiyo feature, hivyo hata ukiipata haitakuwa real. Mtu yeyote tu ataweza kufungua simu yako. Hiyo feature ilikuwa kwenye phantom 5.

Na Tecno w5 pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…