Adblock plus au lucky patcher lakini simu yako lazma iwe rootedMsaada namna ya kuondoa [HASHTAG]#ads[/HASHTAG] kwny application ambayo unakuwa umedownload.
Mfano kama hiyo application ya mziki hapo chini kuna ads inataka niinstall na huwa zinabadilika kila wakati muda mwingine inatokea nyingine na hii ni pale ninapokuwa naitumia hiyo application huku nimefungua data....
Msaada wakuu tafadhari
Jaribu kingoroot appNitumie Root gani kwenye Tecno W4?
Inagoma inaandika App not installedJaribu kingoroot app
Hizo ni zaidi ya ad awayAdblock plus au lucky patcher lakini simu yako lazma iwe rooted
pitia hapo kwenye hiyo thread ujifunze kwanzaku Root ndio nn jamani maana nami nna C 8 HAPA
Ingia playstore download primo.Mkuu hamna inayo fanana na hiyo
Asante... Nimesoma maelekezo ila sasa number ya Halotel haaikubali ku create account ya Primo inanambia invalid number..Ingia playstore download primo.
Wakati wa kuverify usitumie msg verification.. tumia calls.
Make Your WhatsApp Account with USA (+1) Number 2017 (Working)
Ilikuepo app inaitwa voxox ilitumika sana kwahii ishu sina hakika kama hadi sasa badi ina function...Asante... Nimesoma maelekezo ila sasa number ya Halotel haaikubali ku create account ya Primo inanambia invalid number..
Noaona haipo tenaIlikuepo app inaitwa voxox ilitumika sana kwahii ishu sina hakika kama hadi sasa badi ina function...
Haikubali kwa line ya halotel mkuu.. kama una tg, au vod na airtel tumia iyo kuregister..Ilikuepo app inaitwa voxox ilitumika sana kwahii ishu sina hakika kama hadi sasa badi ina function...
Utakuwa umedownload nusu file..Wakuu nashindwa kuinstall gbwhatspp latest alafu ile nimeifuta inasema hv
Hyo ulituma mkuu haidownlod au nitumie browser ipi?Utakuwa umedownload nusu file..
Jaribu kuichukua hapa GBWA v5.20-2.16.392 @atnfas_hoak.apk
Thanks... Ntatumia tigo...thanksHaikubali kwa line ya halotel mkuu.. kama una tg, au vod na airtel tumia iyo kuregister..
Thanks mkuu imekubaliUtakuwa umedownload nusu file..
Jaribu kuichukua hapa GBWA v5.20-2.16.392 @atnfas_hoak.apk