Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Naomba app ya kuhamisha vitu kutoka kutoka kwenye simu kupeleka kwenye Memory card maana simu yangu inajaa Sana na siwezi hamisha storage.
 
naomba kujua km ni ki root simu yangu nitapoteza vitu vyote nilivyo kuwa navyo toka mwanzo mf km picha musick nk
 
naomba kujua km ni ki root simu yangu nitapoteza vitu vyote nilivyo kuwa navyo toka mwanzo mf km picha musick nk
Huwezi kupoteza, ila ushauri unapewa ufanye backup kwa tahadhari uwezi jua kuna njia ukikosea unaweza kubrick device yako.
 
Kuna App inaitwa satfinder kwa wale mafundi wa madishi inasaidia kuona uelekeo ambao satelite husika ipo.
 
Mkuu fikiri ndo ukoment kaka ..Si kila laini ya halotel imeungwa halo university
Oya acha kummaind mshikaji kwenye ishu ndogo kama hzi, mbona jamaa anaeleweka anachokisema... wew nini ambacho humwelewi.?
Watu kibao wana hizo line za chuo na sio wanafunzi, kwani mjini hapa kuwa kitu kinashindikana? .
 
Wametoa hiyo kwa fixed time ila baada ya mwaka inakuwa ya kawaida tuu
 
'' MGccI simu yangu inatatizo SD card damaged '' inaandika You may have to reform it,kama una maelekezo jinsi ya ku reform MSAADA pls.
 
Wakuu, nakata apps ya kubadili background ya picha kwenye simu......

Yaani napiga zangu picha huko Namtumbo , afu nachukua picha ya Dubai naitia pale kama background.......ukiniangalia unafikiri niko downtown Dubaiiiiiiik

Chap chap wakuu........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…