Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Labda tu imeamua kuwa na bifu na wewe
pole mkuu mkuu...mm nikigusa tu mzigo unaonyesha .. Mpaka naona kama MB zitaniisha Muda huu ..

na Leo kuna Vipindi vizuri kweli kwnye baadhi ya Chaniel ..

Hahaha natamani Nifundishwe namna ya kuhack MB ziwe free[emoji2] [emoji1] [emoji3]
Mobdro inasifiwa sana humu ndani lakini kwangu ni shida nimetumia mitandao kama tigo na halotel ambayo huku niliko inaonyesha H+ lakini ukiangalia game inagandaganda tatizo nini!
 
Tunaponunua smart phone.,tumekuwa tukikuta baadhi ya Appl ziko installed kwenye sim.,Nyingi na baadhi yetu nikiwemo mm.,huwa sizioni umuhimu wake katika matumizi yake mfano
Hangout
Learning hub
Nytimes
Game hub
Businnes week
ChartOn
PlayNewsstand
Readers hub
Peel smart remote
Google play music
Google text to speech engine
Drop box
Hivi vitu nn matumizi yake.,maaana huwa naona zinajaza cim tu.,na huwezi kuziondoa ktk sim..
 
Ni apps kama apps nyingine, sema zinakua recomend na producer mwenyewe. Kuzitoa root simu yako.
 
Wakuu msaada wenu tafadhali,nimeroot cm YANGU cku mbili zilizo pita BT now inaleta ujumbe kuwa unfortunately kingroot user has stopped!!! wakati huo nikichek kwa rootchecker in sema successful rooted
Nifanyeje wadau
 
Zachavier.

No App ya ku Extract file .

Hii ilitimiza ndoto zangu za kucheza Games mbili ambazo sikuwa kudhani ningeweza kuzicheza kupitia Simu.

GTA ..(all Cities) na Call of Duty Team Strike ..Zote zikiwa ni Free .
Mkuu Maelezo zaid kuhusu ufanyaj kaz wa hii kitu
 
pole mkuu mkuu...mm nikigusa tu mzigo unaonyesha .. Mpaka naona kama MB zitaniisha Muda huu ..

na Leo kuna Vipindi vizuri kweli kwnye baadhi ya Chaniel ..

Hahaha natamani Nifundishwe namna ya kuhack MB ziwe free[emoji2] [emoji1] [emoji3]
Mkuu tufundishe na ss kuhack mb
 
[4/15, 16:08] sir.mziray: HABARI NJEMA!!!
Unaweza kutumia account mbili za WhatsApp kwa wakati mmoja (namba mbili tofaut) ktk simu yako ya android.

Ni rahisi kama ifuatavyo:

Ukigusa kiungo (link) ifuatayo itakuletea uchague browser ya kuifungua.

Ukifungua link hiyo kwa browser yeyote bonyeza neno "pakua" kusha download...

Baada ya kudownload select Open kisha install. (Hakikisha ktk setting yako umeweka alama ya vema (✔) ktk install from unknown source.

Ukifanikiwa usisahau kusema chochote kwa;

Mziray mwl.
[4/15, 16:09] sir.mziray: Google Drive - Virus scan warning
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…