Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
pole mkuu mkuu...mm nikigusa tu mzigo unaonyesha .. Mpaka naona kama MB zitaniisha Muda huu ..Labda tu imeamua kuwa na bifu na wewe
na Leo kuna Vipindi vizuri kweli kwnye baadhi ya Chaniel ..
Hahaha natamani Nifundishwe namna ya kuhack MB ziwe free[emoji2] [emoji1] [emoji3]
Mobdro inasifiwa sana humu ndani lakini kwangu ni shida nimetumia mitandao kama tigo na halotel ambayo huku niliko inaonyesha H+ lakini ukiangalia game inagandaganda tatizo nini!