Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Habari za asubuh kuna hii kitu kuna ukweli ndani yake?
 

Attachments

  • 1476334275623.png
    38 KB · Views: 100
nova launcher umenena...
Umewahi kutumia instagram+?
 
Wadau nimedowload game lakin likifika mwixho linaanza upya
 
,,,, hiyo application ya aptoide ,unaweza download application za kulipiwa buree....
!
 
Call blockes nyingi nikidownload kama kuna namba unaiblock ni sawa,lakini namba hyo ikikupigia itaambiwa simu anayopiga iko busy.nataka kujua kama kuna app ya call blocker ambayo ukiblock simu namba ikipiga isinipate au iwe inakata tu na si kusema simu yangu inatumika.mwenye kujua hili tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…