Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Ebwane Mbona hizi game zinakataa Nikita kubadilisha gari simu yangu IPO rooted lakini inazingua
714c635040198cd7d6de6a4785b0086e.jpg
Iyo game iko modded? Hutakiwi kucheza pia data ikiwa on watakushika
 
Kwa wale wataalamu wa simu Naomba mnisaidie. Kila ninaporoot simu yangu, ikifika 70% Ina fail. Sijajua tatizo ni nini. Msaada wenu tafadhari. Natumia Samsung S5 SM_G900F
Kuna kinguser na super user
Kingroot sishauri
Tumia framaroot au njia yyte ya chainfire huyu jamaa ndo mkali wa kucheza na Samsung
 
Hizo zote si naweza root bila komputa?
King user na super user sio apps za kuroot

Kuroot iyo simu yako tumia CF-Root Download

Hii njia ya computer ni dk 1 tu na ni uhakika

Ukitaka kubahatisha jaribu framaroot na towel root hizi bila computer. .ila zote zikigoma njia itayokufaa ni hiyo ya pc ambapo utapata zip ya chainfire..jamaa ndo mbabe wa kuroot hizo samsung

Ukiwa super user utafanya mengi kuliko kinguser ambayo utapewa na king root kuna kaz itachemka kufanya.
 
Kuna kinguser na super user
Kingroot sishauri
Tumia framaroot au njia yyte ya chainfire huyu jamaa ndo mkali wa kucheza na Samsung
Nilitumia kingroot but ikaniondolea privacy yangu ya lock nilizoziweka kwa kutumia app nyinginezo sio za kuja na simu.Ilibidi ni unroot tu.Je,kuna another alternative.
 
Nilitumia kingroot but ikaniondolea privacy yangu ya lock nilizoziweka kwa kutumia app nyinginezo sio za kuja na simu.Ilibidi ni unroot tu.Je,kuna another alternative.
Ndio mana nashauri kutotumia kingroot

Tumia apps za chainfire kama unatumia samsung

CF-Root Download
Kwaajili ya s5

Kingroot sio nzur kabisa haikupi super su otherwise hadi uje kuhama kutoka kinguser to super su via super sume app
 
Mimi natumia Huawei sijui kama hiyo uliyopendekeza inafaa pia kwa simu kama yangu.
 
Mkuu mimi natumia kingroot kwenye tecno C8 n.
Naomba ufafanuzi kidogo hapa

Kwa wale wataalamu wa simu Naomba mnisaidie. Kila ninaporoot simu yangu, ikifika 70% Ina fail. Sijajua tatizo ni nini. Msaada wenu tafadhari. Natumia Samsung S5 SM_G900F
Jaribu kutumia root app nyingine maana kinroot inazonguaga kwa baadhi ya samsung, jaribu siper SU
 
Blackmart kwa rooted Android. Hiii app inakusaidia kupata app zooote za play store zinazouzwa bure. Haipatikani Google play. I search kwenye search engines
Huu ni wizi. Sio jambo jema wenzio wametoa jasho ku develop app halafu wanaweka sehemu wanauza, ww unataka utumie bure. Lau mtandaoni ingekuwa ni kariakoo wewe na wenzako mnaoiba mgeshachomwa moto. Tujifunze kuwa waadilifu sio tunafurahia watu wanavotobolewa majipu wakati sisi wenyewe sio waadilifu. Tujitathmini.
 
Nataka apps ambayo itanisaidia kupata movie kirahisia za series kwny pc
 
Back
Top Bottom