Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uzoefu nilio upata humu jf kwa simu za Iphone ni jeilbreak.Hivi iphone unaweza kuroot......??? Teh teh teh
Mkuu polepole kwenye kufuta hizo App. Mm nikushauri tumia luckypatcher kuzi freeze kuliko kuzi uninstall.Mkuu root checker inaonesha kuwa cm ipo rooted na mpaka nimeweza kui uninstall browser iliyo kuja na simu.
Nitaijaribu.Ni app nzuri. Sema i prefer spotify
Na mimi naitakaMkuu ile channel ya pilau kwenye modro inaitwaje? Maana mimi sijaiona
Na mimi utanipa ukiipataMkuu ile channel ya pilau kwenye modro inaitwaje? Maana mimi sijaiona
Kuna Jamaa alidai inaitwa Hustler Tv...Na mimi utanipa ukiipata
Kuna Jamaa alidai inaitwa Hustler Tv...
Nmeitafutaa wee..sjaiona SA sijui ni Macho yangu au ilikuwa chai ya jamaa
Na mimi utanipa ukiipata
Wakuu hapa naona mpo nje ya mada...Na mimi naitaka
Adaway iko poa sanaMe natumia adaway!!!!!!
ka samsung kangu kapo kopo tu ndani sina hamuMkuu polepole kwenye kufuta hizo App. Mm nikushauri tumia luckypatcher kuzi freeze kuliko kuzi uninstall.
Ndo nini hiyo ikiwezekana weka linkAdaway iko poa sana
Adaway ni andriod app kama simu yako ipo rooted ikeweja hiyo app na uka enable. Hutoona matangazo yale yanayosumbua kwenye app zako za simu.Ndo nini hiyo ikiwezekana weka link
Kama haiko root unafanyaje mkuuKiongozi hebu ingia playstore dawnload root checker.
Iku dhihirishie kuwa hiyo simu ipo rooted ama vipi.
Hii mbona scribd hadi ulipie premium ndio unavisoma hii inakuaje aise au kuna namna nyngne yakutumiaTumia scribd
Dramania ni kibokoHapana nataka app ambayo ntapakua series za korea
Kama simu sio root uchaguzi ni wako ku root au kuacha kabisa.Kama haiko root unafanyaje mkuu
Halafu nimechukua leo ambayo ni updated sio mchezo naangalia disney chanels tuMobdro Nzur Sanaa Ninayo Muda.![]()
Sawa natumia H6 embu nitumie application gani niweze kuroot vizuri mkuu maana supersue inakataaKama simu sio root uchaguzi ni wako ku root au kuacha kabisa.
Samsung aina gani mkuuka samsung kangu kapo kopo tu ndani sina hamu
Tumia King rootDah natumia H6 TECNO nitumie root gani kwenye hii simu iweze kuroot