Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Sasa mnaenda kujifichabwhatsupp for what?mada iko hapa...kila kitu kimalizwe hapa...achenu ubinafsi.
Ndio hasa ninacho shangaa mimi, mada imeanzia hapa na miaka nenda rudi kumbukumbu itakuwa hapa. Watakuja watumiaji wapya, wataukuta huu mjadala kama wewe ulie ukuta na kuhamishia whatsapp,
Mambo mengi yaliyo/yanayo jadiliwa hutumika kama marejeo.
Mfano tafuta mada za 2010,2011 nk utazikuta sasa wewe unaesema mimi nataka kuuwa hii thread kwa msingi upi labda!
 
Habari lengo la kufanya hv ni kuwa update on time syo kila mtu anaingia jf wakati wote hata hvo mada zitakuwa Zn atumwa kotekote mkuu
 
Msaada wanajamvi simu yangu ina matangazo/adds mengi mpaka kero yaan kila baada ya dakika inatokea je hakuna app inayoweza kuignore moja kwa moja?
 
Kma Umeiroot, Download Adaway Apk. Instal, Then Iactvate.
 
Msaada wanajamvi simu yangu ina matangazo/adds mengi mpaka kero yaan kila baada ya dakika inatokea je hakuna app inayoweza kuignore moja kwa moja?
Mkuu hapo unatakiwa u root simu, then install app inaitwa Adaway. Na hakikisha unaiweka iwe Active
Kwa asilimia kubwa ita block hizo Ads.
 
Msaada zaidi nawezaje kuroot? Natumia Tecno j8 kama kuna tips niwekeen niifate maana hz ads zinazingua sana
 
Back
Top Bottom