Tusichokijua kuhusu Starlink

Tusichokijua kuhusu Starlink

Is_haq91

Senior Member
Joined
Dec 27, 2022
Posts
129
Reaction score
804
Habari,

Watu wengi hapa Tanzania tunasubiri kwa hamu ujio wa Starlink ila ni wachache wanaojua matumizi yake ni yakoje pamoja na bei zake.

Ningependa kuzungumzia zaid vitu ambavyo tushavijua kupitia watumiaji wa Nigeria,
  • Starlink inauzwa $578.93 hivi ni vifaa peke kwa Tanzania ni sawa na 1,351,942./= na utalipia kwa account ya Dollar sijui kwetu itakuaje maana kwa Nigeria card zao za ndani hazikubali.
  • Pia Starlink wanakupa 30 days free trial kama hutopata huduma upendavyo unauwezo wa kurudisha na kulipwa pesa yako yote.
  • Starlink sio unlimited ila iko limited kwa kiwango kikubwa tofauti na provider wengine, Una kiwango cha kutumia internet cha 1terabyte kwa mda wa asubuhi mpka jioni na Jioni mpka asubuhi hautokuwa na limitation yeyote, Ukifanikiwa kumaliza 1 terabyte speed itapungua ila utakuwa na uwezo wa kununua 1Gb kwa $0.25 ambayo ni sawa na tsh 584.75.
Haya ni machache ambayo tunayajua kwa sasa na kama kuna zaidi unaweza kushare, Je, tutegemee yepi kutoka kwa Starlink ikifika Tanzania?
 
Mkuu mada za maendeleo kama hizi kupata wachangiaji ni ngumu kidogo utakuta wako kwenye MMU huko, anyway mitandao ya simu TIGO, VODA, AIRTEL, Halotel hawa jamaa linapokuja swala la kumnyonya raia wa kawaida usijekushangaa wakaungana huenda wanahofia kuzidiwa kihuduma na starlink biashara zao za wizi zikafa kifo cha mende.
 
Mkuu mada za maendeleo kama hizi kupata wachangiaji ni ngumu kidogo utakuta wako kwenye MMU huko, anyway mitandao ya simu TIGO, VODA, AIRTEL, Halotel hawa jamaa linapokuja swala la kumnyonya raia wa kawaida usijekushangaa wakaungana huenda wanahofia kuzidiwa kihuduma na starlink baishara zao za wizi zikafa kifo cha mende.
Mitandao ya simu yatapunguza gharama zao pindi pale watanzania wengi watahamia kwenye Unlimited plans, majumbani na makazin hapo ndo wataona traffic kwao imepungua.
 
Hivyo hivyo tu hao jamaa waingie ase tujionee huduma zao pia.
Screenshot_20230214-113550~2.png

Na hawa pia wanakuja kushindana na starlink hapa pengine Starlink nae atapunguza bei au atapigwa bao.
 
Mitandao ya simu yatapunguza gharama zao pindi pale watanzania wengi watahamia kwenye Unlimited plans, majumbani na makazin hapo ndo wataona traffic kwao imepungua.
Ni kweli kabisa ila hadi hao starlink waingie kwenye soko la tz ni lazima main players wa sasa VODA, TIGO na wengineo ambao ni wabia wa TCRA waridhie hizo chenga chenga kuna kitu nyuma ya pazia documents gani we unadhani zinaweza kuzuia maendeleo.
 
Habari,

Watu wengi hapa Tanzania tunasubiri kwa hamu ujio wa Starlink ila ni wachache wanaojua matumizi yake ni yakoje pamoja na bei zake.

Ningependa kuzungumzia zaid vitu ambavyo tushavijua kupitia watumiaji wa Nigeria,
  • Starlink inauzwa $578.93 hivi ni vifaa peke kwa Tanzania ni sawa na 1,351,942./= na utalipia kwa account ya Dollar sijui kwetu itakuaje maana kwa Nigeria card zao za ndani hazikubali.
  • Pia Starlink wanakupa 30 days free trial kama hutopata huduma upendavyo unauwezo wa kurudisha na kulipwa pesa yako yote.
  • Starlink sio unlimited ila iko limited kwa kiwango kikubwa tofauti na provider wengine, Una kiwango cha kutumia internet cha 1terabyte kwa mda wa asubuhi mpka jioni na Jioni mpka asubuhi hautokuwa na limitation yeyote, Ukifanikiwa kumaliza 1 terabyte speed itapungua ila utakuwa na uwezo wa kununua 1Gb kwa $0.25 ambayo ni sawa na tsh 584.75.
Haya ni machache ambayo tunayajua kwa sasa na kama kuna zaidi unaweza kushare, Je, tutegemee yepi kutoka kwa Starlink ikifika Tanzania?
Post bora sana ya muda wote hii![emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mkuu mada za maendeleo kama hizi kupata wachangiaji ni ngumu kidogo utakuta wako kwenye MMU huko, anyway mitandao ya simu TIGO, VODA, AIRTEL, Halotel hawa jamaa linapokuja swala la kumnyonya raia wa kawaida usijekushangaa wakaungana huenda wanahofia kuzidiwa kihuduma na starlink baishara zao za wizi zikafa kifo cha mende.
Raia wa kawaida hana uwezo wa kutumia Starlink.
 
Back
Top Bottom