Tusichokijua kuhusu Starlink

Muwakilishi wa Elon mbona aliweka wazi kuwa gharama kwa Tanzania zitakua tofauti kulingana na uchumi husika maana kuna mtu aliuliza kuwa je Tanzania itamudu €50 per month yeye akarespond hivyo..
Pia mh.Nape pia alilitolea ufafanuzi kuwa walishaleta proposal mezani wakapewa list ya Documents za kuleta ili waanze kutoa huduma
 
Hii itakuwa nzuri ndo maana nikasema bei za Tanzania halisia, tusubiri tuonee
 
Binafsi Sina uelewa sana na hii starlink..lakini I wish ije ili pawe na competition na hawa watwana wetu akina voda, tigo, na Airtel....Kwa maana ni mateso matupu..labda wakipata mpinzani wanaweza kuboresha huduma
 
Starlink inauzwa $578.93 hivi ni vifaa peke kwa Tanzania ni sawa na 1,351,942./= na utalipia kwa account ya Dollar sijui kwetu itakuaje maana kwa Nigeria card zao za ndani hazikubali.
Kwa bei hii ni Watanzania wachache sana wataweza kujiunga na Starlink.
 
Speedtest kati ya 5G na Starlink

Starlink lazima itakuwa speed zaidi huwezi fananisha na throughput yake na 5G ambayo sehemu kubwa kwa Afrika sasa ni NSA 5G...ambayo bado infra yake ni ya 4G
 

Hii kitu lazima nitakuja kuimiliki, ni moja ya vitu kwenye bucket list yangu kwa 2023 hadi 2024, Mungu saidia...

Na huo ndio utakuwa mwisho wa kutegemea internet kimeo za hawa mabeberu wasiotaka kubadilika, DSTV na mavifurushi yao yasiyo na contents mpya...

Itakuwa ni mwendo wa VPN + IPTV
 
Ata ukipata fiber sio mbaya...
 
Kabla ya yote tupe maana ya Starlink ni nini hiyo? Inahusika na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…