Tusichokijua wabara ni kwamba-Wazenji na Watanganyika ni watu tofauti sana

hivi ulichoandika unakijua au ulikurupuka tu usingizini? coz ulicho andika ni sawa na hadithi ya bibi na babu! Zanzibar kwanza

Hakuna ulichosndika cha kujitetea unachopinga zaidi ya kuthibitisha kwa matusi ya kijinga ukidhani unajitetea kumbe unazidi haribu.
 

Mkuu hata kama una jazba basi pitia uliyoyaandika kabla ya kuposti au fanya editing kama unaogopa kupotea uzi wako. Huu uzi umekuwa ukikatika kiaina lakini angalau tumefahamu kuwa watu wa pande mbili hizi ni tofauti.

Ni kweli kabisa kuwa tuko tofauti lakini hili la kufikiria kuwa tofauti yenyewe imeletwa na kuwa mmoja ameendelea zaidi kuliko mwengine na kuwa huyo aliyeko nyuma hafundishiki ni fikira potofu kabisa,tena ni potofu kabisa.

Si kusudi langu kukuthibitishis uhalisia wa mambo kuwa yupi ameendelea zaidi lakini nataka nikufahamishe kuwa hiyo unayoona wewe kuwa ni jumuia ya yasiyotegemewa, si chengine bali ni ile ile tofauti tuliyonayo. Pengine hayo unayoyaona wewe ni maendeleo kwa watu wa visiwani wanaona sio maendeleo kwao. Na maadam umekubali kuwa tuko tofauti huwezi hata siku moja kuwa sawa na mtu wa kisiwani kifikra na kimuono.
 

Ni msururu mrefu wa hasara za muungano kwa upande wa Bara lakini mengine yana ufafanuzi:
Umeme ni biashara ambayo upande wa Bara umeilazimisha katika harakati zake za kuona wanaimiliki Zanzibar.
-Chakula nayo ni biashara ya soko la uhakika la bidhaa za wakulima wa Bara. Unapoweka kodi kubwa na vizingiti chungu nzima juu ya uagizaji wa chakula nje ya Tanzania unakusudia nini? Hebu jiulize hii biashara ya chakula iliyonawiri inaendeshwa vipi wakati Zanzibar hawana kitu wanachouza Bara? Ni one way trafic ya pesa, inaingia Bara lakini hairejei Zanzibar. Swali la kujiuliza fedha wanaitowa wapi na watashindwaje kuagiza chakula kutoka nje iwapo hakuna vikwazo?
-Suwala la Wabunge ni mchezo mchafu wa Bara kuhakikisha wanaikamata Zanzibar,kwani kama ulivyoeleza kuna haja gani ya wabunge kutoka Zanzibar kuwemo kwenye majadiliano ya wizara zisizo za muungano? Kuthibitisha hili ni kule kwa viogozi wa Bara kukataa serikali yao ya Tanganyika kwa kisingizio cha gharama wakati gharama ingeepukwa kwa kuwa na serikali tatu tofauti.

Binaadamu siku zote hupenda kuwa huru hata kama atakuwa shidani hivyo Zanzibar inahitaji kuwa huru na sio kwamba wanajaribu lakini wana uhakika wakiwa huru ni muda mchache watapiga maendeleo na kurudisha hadhi yake ya Zamani kabla ya kutawaliwa na CCM.
 


Naam kwani sheria zinafuatana na tabia za watu, pengine sheria inafaa kwa Bara lakini kwa Zanzibar haifai kwani haihitajiki
 

Mkoloni ni mkolonitu awe mwarabu au mwafrika.Zanzibar inataka kuwa huru kuchaguwa mkoloni gani anawafaa kama nyinyi mlivyochagua mkoloni wa Kimarekani. Sasa nyie wenyewe mnatawaliwa na bado mnataka kuendelea kututawala?
 

Kwani Kiswahili ni lugha yako wewe? Ni lugha ya kujifunza baada ya kufika mjini sasa hayo maneno ya matusi inakuwa tabu wazee kukufundisha!
Kila mtu ana maamuzi yake na mnakubali kuwauzia Wazenji kwa vile wanachojenga ni vitu vya maana, maghorof, miji n.k lakini mbara akinunua ardhi Zanzibar anakimbilia kujenga baa na magesti vitu vya kihuni, nani anataka kunajisiwa ardhi yake?
 
Kuhusu maovu nafikiri ni tone katika ziwa kwa maovu huko Bara. Kila uovu huko uko lakini cha msingi kwanini hamtuachii na mkaunda serikali ya Tanganyika ili tukae meza moja tukijadiliana kuangalia kipim tunakubaliana kipi hatukubaliani?
 
Ndio maana akina Ponda wanatake advantage. Wanatoka huko kwao Burundi au Rwanda wanakuja kuwakonfuse Wazenji zaidi.He deserverd a shot at a right place.

Mzanzibari anajuwa analolitaka si sawa na ndugu zetu msojuwa hasa mnataka nini, kuacha kututawala,au kuendelea kushikilia ukoloni wenu.
 

Nicholas kwani una kigugumizi cha kuandika au jazba zikikupanda mikono hutetemeka. Wakati mwengine tunashindwa hata kuungaunga maandishi yako.
Tena umzuri kuonyesha tofauti zetu, sasa umekuja na tofauti za utumwa wa kimawazo! naam wewe ni mtumwa wa kimawazo kivyako sasa ulitegemea Wazanzibari wawe watumwa sawa nawewe? La kila mmoja ana utumwa wake kiama Mzanzibari unahisi anafikira za utumwa wa kiarabu wako ni utumwa wa fikira za kizungu hivyo sote ni watumwa!
 

Ala kumbe una kisa kimekutokea? Pole sana MNicholas lakini pengine kosa lako ni kujifanya mjuwaji na kufikiri kuwa Wazenji ni mbumbumbu eti kwa kuwaona hawafungi tai.
Mtazamo wako wa kujihisi kuwa ni bora wakati humu ndani unathibitisha kuwa wewe huna cha kumfundisha Mzanzibari bali yeye amekuwa akielimika kabla ya hata wewe hujatoka mikoani kuja mjini.
Ni ukweli usiopingika kuwa Wazanzibari hawataki mtu kuja na kujilabu kuwa yeye ni nani na ana nini isipokuwa wanajali vitendo na tabia ya mtu na iwapo ni tishio kwao hawana msalie mtume!
 
Hao ni watu wa kupokea misaada kazi hawafanyi wasubiri waarabu walete container za tende. Tazama mashamba ya karafuu yote yamekua mapori. Kwa kupiga domo hawajambo. Acha wamtukane mamba kabla hawajavuka mto
 

Pengine ninacho...go to the point.Hata ningekuwa mtumwa inakusaidiaje kujaribu tetea kuwa wazenj hatutofautiani nao kwa kisasi cha kutufanya tusifikie maamuzi sawa, hata km tunakubaliana ktk mipango.

Wewe ndio mwenye chuki ndio maan hujui nini unatetea hapa
 

Nani kakuambia bara hawajengi magorofa?Mbona Zenj hamjengi kwenu hayo magorofa?Sasa wabara waliopo zenj mmewaruhusu wajenge?Ndio maana wanafanya bishara inayokuwa kwa sana(Kialuri) na kilauri kinatakiw ajengwa beach kwa majengo yasiyo ya kudumu.Wazenj ndicho walichochagua,wabara wasipewe makazi ya kudumu.

Huo unajisi umewahi jiuliza mnavyonajisi bara kwa uchafu, uzinzi ktk masoko na maduka mnayofungua..uzazi usio wa mpango ili kodi za wabara zitumike kuwatibu na kuwasomesha.

Nani kakuambia kiswahili kina mwenyewe?hata Zenj kwenyewe kiswahili utata..lahaja ngapi zipo kule..?wengine wanaongea km wanaharisha, wengine wanaongea vyema hata kwa sigezo vya zenj tuu achilia kiswahili cha standard cha bakita.Kiswahili kuasisiwa pwani na kujengwa pwani huku zenj ikiwa na ncahngo hakumaanishi ndipo usahihi ulipo tena.Dunia imeendelea utaalamu na nyanja za maisha zimeingiza vitu ambavyo hata wazenj hawawezi tena imagine ni vitu gani.Yaani ni kma waota ndoto wengi wasiowai panda ndege wanavyoota ndege yenye sifa za gari.
 

Nani kaongelea Tai hapa..Hayo ndio ninayosema tonatofautiana sana na wazenj..kwako unaleta taabu zako ktk kuchagua uendelee vaa jezi za timu za UK, kanzu, visuruali vifupi km vya kike au Kanzu, au Suti wavaazo wastaarabu.

HUwezi kuwa mstaaarabu ukavaa kanzu bila ch..upi ndani na makobazi ktk professional world.HUwezi chamba na vimaji vya kopo, ukashika mavi halafu ukadanganya watu kuwa mikono yako itakuwa safi kwa vimaji kidogo bila sabuni maalumu kwa chooni.

Kwa ujumla mpo nyuma sana..ndio maana mimi siwapi mikono type yako bila sababu, na nikiwapa au kupita ktk mahofiri yenu najiepusha sana shika makomeo.So many times nimekuta inanuka mavi.itakuweje magonjwa ya kinyesi...ndio maana mijini watu wanatumia maji safi, wanakula vitu kwa tahadhari bado wanapata magonjwa.
Zenj hakuna si tuu kuelimika hata ustaaabu uliopo ni wa karne 7..na masifa na fikra mgando mnajdangnaya kuwa mnawafundisha bara ustaarabu.Jamii ya leo watu wapo very dyanamic..jamii yenye watu wengi walio flexible na wenye kuchambua mambo haraka, ndio wanaostaarabika na baadaye kuendesha ustaarabu na si ustaarabu kuwageuza.
 
Naam kwani sheria zinafuatana na tabia za watu, pengine sheria inafaa kwa Bara lakini kwa Zanzibar haifai kwani haihitajiki

Unatia huruma kwa ile hujui utendalo.Unazidi ithibitisha sana...hakuna sheria za Bara Zenj, Shseria za Muungano zimepitishwa kwa Ndioooooo na MaCCM na waliberali wa CUF kwa asilimia zaiid ya mia ..sijui wanapata wapi hizo asilimia ktk kura.

Unanithibitisha kwa jinsi unavyo behave+ kwa jinsi unavyokubaliana nami kuw atupo tofauti na Zenj..wabunge wenu wanapitisha sheria halafu wakirudi pembeni wanakwenda tenda km vile hawakujua walichokuwa akifanya, au walielewa tofauti.
 
............................
Ngekewa hata hizo tai unazodhani kuwa watau wanacheka wazenji ..ni kwa vile hata wakizivaa huwa wanavaa hovyo km jinsi mnavyokuwa hovyo ktk kanzu,, ktk jezi za Timnu za UK....makamu wa rais wote , mwinyi hata na JK walichukua sana muda kuwa nadhifu..Utashagaa hata JK kwa mika yote kukaa nje bado miaka ya mwanzo ya urais wake kila aliweza ona ni kwanini alikuwa akipendelea Vitenge juu ...

pamoja na kwamba wachina siku hizi wameleta kit kamili kwa mtu kwena kuvaa tuu ila usikose mtazama sana Vuai, na wengine kuna siku wakitoka utajua anayewachagulia nguo alikuwa ana udhuru..
 
Mkoloni ni mkolonitu awe mwarabu au mwafrika.Zanzibar inataka kuwa huru kuchaguwa mkoloni gani anawafaa kama nyinyi mlivyochagua mkoloni wa Kimarekani. Sasa nyie wenyewe mnatawaliwa na bado mnataka kuendelea kututawala?

Haha bara wanachagua Partner na si Mkoloni...ni CCM tuu wanapenda fanya bishara km ya mkulim ana mchuuzi ktk ile mikoa yenye wabunge wajinga ambao miaka yote wanaona rumbesa wanakenua kuwa kwao vyakula vingi.Halafu baada ya kuvuta watu wanaanza kula mizizi ili waishi.
 

Mkuu kuhusu vifaa used hata mie nawaunga mkono kwani ni bora used ulaya kuliko mpya ya china!Wanaotuletea uchafu wa China walaaniwe kabisa kwa kutuongezea umaskini

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…