Tusidanganyane, mimi napenda pesa sana

Mkuu kumbuka mshumaa hauwashwi mbele na nyuma
 
Hahaha
 
Aseeh kaazi kweli kweli

Badala ununue gari unahangaika na bolt na bajaji!!

Malls hizi za dar es salaam au wapi ?

Afu ukute unaish mwanNyamala komakoma 😏
 
Ndio maana najitahidi kujishughulisha nipate walau 4,000,000 kwa mwezi kwa biashara ya mchele na shares nilizoinvest DSE
Tuachane na matumizi ya kum(a) yako maana ni mali yako na unaitumia kivyako.

Swali langu;-
1. Ni kampuni gani ume invest inayokupa return ya Mil 4 kwa mwezi??
2. Na ni share za kiasi gani??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Tuachane na matumizi ya kum(a) yako maana ni mali yako na unaitumia kivyako.

Swali langu;-
1. Ni kampuni gani ume invest inayokupa return ya Mil 4 kwa mwezi??
2. Na ni share za kiasi gani??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Story za kijiweni ni shida kaka Liverpool

Utakuta haelewii hata vicoba vinaendeshwa vipi ?
 

Tukutane ukiwa na 32 years! What do you have to offer? Because your head is completely empty!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…