Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Kwa uzuri wanao kabisa!Ubaya wanataka hela ila uzuri wanao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa uzuri wanao kabisa!Ubaya wanataka hela ila uzuri wanao!
SI mwanaume akikupenda sema akikutamani maan wee upo kwaajir ya kutoa utamu tuuuNapenda sana pesa sina haja ya kuficha,
Mwanaume akinipenda ajipange
- Silali njaa.
- Sipandi daladala Ni Uber au bajaji
- Maharage nakula mara tatu tu kwa week
- Natumia iPhone tu kuanzia 8+
- Vocha naunga mwezi kifurushi
- Shopping nafanya kwenye Malls na supermarket
Ndo maana najitahidi kujishughulisha nipate walau 4,000,000 kwa mwezi kwa biashara ya mchele na shares nilizoinvest DSE
Sehem zako za siri ushawahi kujichungulia, au ni shimo tu kama la choo cha stendi kila mtu anajisaidia ili mradi tu kalipiaNapenda sana pesa sina haja ya kuficha,