Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
π€£π€£Si unaona akili zilipokomea π π π
Itakuwa "mwanafunzi" huyo ee?!Acha kabisa kabaki na 50k analalamika kinoma
Mnajulikana tu π πItakuwa "mwanafunzi" huyo ee?!
Wazoefu Wala mishipa haiwapigi...π€£
Ivi mademu wanapokuwa wanawapiga bucks nyingi masela kwa one night stand mfano uliotolewa hapo juu....let's say 200K ama 300K.. then wanawachukulia na kuwaona timilifu kweli vichwani ?!! I mean wanathaminishaje "vitendo vichache" na mipesa yote hiyo kwa muda mfupi?!!!Si unaona akili zilipokomea π π π
Kipindi hiki chovyachovya imechachamaa, visichana vidogo sana unakuta vinatoka guest house na wababa wenye ndoa zaoZama za sasa kumekuwa na Watoto wengi wa nje ya Ndoa, Kukithiri kwa MARADHI na hata UMASKINI.
Sababu ya haya yote ni kukithiri kwa ZINAA.
Kama unapinga pinga kwa hoja.
π€£Mnajulikana tu π π
Washamba na beta males π π π mwanaume smart anajua kuitumia hela yake ili iongezeke double/tripple sio unaitupa tu kirahisirahisi hivo....tena hao wadada wanawachora kichizi wanaume wa aina hio laiti wangelijua lol ndo mpaka wakapewa jina "mabuzi" π€£π€£π€£ wenyewe wanajiona smart mtu mfano ana mke ikisha ana wanawake wengine 2-3 wakuwahonga dah π kwa hali hii umaskini hauishi mpaka tubadili mindset na tuepukane na wimbi la umaskini wa akili!Umaskini sio wa hela tu bandugu!Ivi mademu wanapokuwa wanawapiga bucks nyingi masela kwa one night stand mfano uliotolewa hapo juu....let's say 200K ama 300K.. then wanawachukulia na kuwaona timilifu kweli vichwani ?!! I mean wanathaminishaje "vitendo vichache" na mipesa yote hiyo kwa muda mfupi?!!!
Do they thing such men are naive ,washamba smarts ama beta males and not alpha ones?!!!
Kipindi unafanya yote haya familia yako imejitosheleza ama ndugu ama wazazi....? Ndo maana nasema umasikin kwa maana unaakisi pengi, pesayoivuruga hvyo leo iliwezekana ukampa support ndugu kibiashara...Sawa mkuu, kila mtu yupo tofauti kwenye matumizi, mi Ikiingia 100k ambayo haipo kwenye mshahara, madeni huwa naitumia vile naona itafaa naweza kuipiga kiberiti na washkaji na hainiumi. Kama Mashahara, other allowances, extra duty/overtime nk zinazofahamika.
Ushawahi kuona VIBE la madalali wa magari wakimpiga mtu. wanaweza nunua kaunta nzima ya bar.
Ila kama wewe kila matumizi yako ni "BY THE BOOK" Its Okay
Dah... ni uvivu tu wa kufikiri...hiyo 250k aliyoipata anajua imetoka wapi? Tunalialia hakuna mzunguko wa pesa mtaani wakati sisi wenyewe tunaugandisha uchumi. Hapo dereva kapata ajira....mpishi/waita wamepata mshahara...serikali umepata Kodi...na kikubwa kabisa naye "kachangamsha mwili"Mchizi wangu juzi kalipwa 250k job kama posho ya kazi flani ya nje
Kaagiza demu mpya.
Nauli 10k (ya demu kukutana na jamaa)
Vinywaji na chakula 40k
Rum 20k
Mafuta ya Kigari chake kwa ajili ya misele ya siku hio 30k
Posho kwa demu 50k
Kesho naonana nae analalamika ile hela imekata π π π
Maskini hawataisha kwa kuwasaidia ela.Kipindi unafanya yote haya familia yako imejitosheleza ama ndugu ama wazazi....? Ndo maana nasema umasikin kwa maana unaakisi pengi, pesayoivuruga hvyo leo iliwezekana ukampa support ndugu kibiashara...
π²π²Ooo kumbe wanaonekana ni BETA MALES ?!! Yeeeluwiiii π€£π€£Washamba na beta males π π π mwanaume smart anajua kuitumia hela yake ili iongezeke double/tripple sio unaitupa tu kirahisirahisi hivo....tena hao wadada wanawachora kichizi wanaume wa aina hio laiti wangelijua lol ndo mpaka wakapewa jina "mabuzi" π€£π€£π€£ wenyewe wanajiona smart mtu mfano ana mke ikisha ana wanawake wengine 2-3 wakuwahonga dah π kwa hali hii umaskini hauishi mpaka tubadili mindset na tuepukane na wimbi la umaskini wa akili!Umaskini sio wa hela tu bandugu!
Jamaa analalamika wewe unampongeza? π π πDah... ni uvivu tu wa kufikiri...hiyo 250k aliyoipata anajua imetoka wapi? Tunalialia hakuna mzunguko wa pesa mtaani wakati sisi wenyewe tunaugandisha uchumi. Hapo dereva kapata ajira....mpishi/waita wamepata mshahara...serikali umepata Kodi...na kikubwa kabisa naye "kachangamsha mwili"
Cha msingi abuni mbinu mpya apate 500k....aagize wapya...wawili...
Tushirikiane kuchangamsha uchumiπ€
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thailand Pattaya Kuna ngono sio poa, tena commercial ngono ya kila aina kwanzia straight mpaka ma ladyboy lakini hakuna umaskini kama bongo.
Usitupangie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchizi wangu juzi kalipwa 250k job kama posho ya kazi flani ya nje
Kaagiza demu mpya.
Nauli 10k (ya demu kukutana na jamaa)
Vinywaji na chakula 40k
Rum 20k
Mafuta ya Kigari chake kwa ajili ya misele ya siku hio 30k
Posho kwa demu 50k
Kesho naonana nae analalamika ile hela imekata π π π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana kufukuzia mpuuzi flani tu imenigharimu 95,000 hafu kasema leo ndio tuonane. Nadhani itafika Laki 2.
Au aende Roppongi Tokyo ndio ataona jinsi vidudu vinatumika balaa Ila hakuna huo umasikini. Sema mademu wa bongo wanajitegesha kuzaa hovyo, wakishalima una vihela kidogo basi anaona ndio mtaji.Thailand Pattaya Kuna ngono sio poa, tena commercial ngono ya kila aina kwanzia straight mpaka ma ladyboy lakini hakuna umaskini kama bongo.
Usitupangie
Ukweli mtupu huu. [emoji23][emoji23][emoji23]Umesema commercial ni biashara,na wanafanya biashara hio kwaajili ya umaskini kama zilivyo nchi nyingenezo maskini .
Thailand ni nchi yenye utalii vilevile kwahio wazungu wengi huenda huko kununua malaya(kuridhisha) ham zao za ngono na vilevile kuwa in vaccay na hukohuko asilimia kubwa wanabeba ukimwi na kuurudisha makwao,thailand ni maskini ila wao ni wachapakazi mno hata wazungu wakitaka wake submissive wanawafata Thailand....ila ukimwi unaongezeko kubwa huko kwaajili ya sextrade!
Watanzania wanajibweteka na kuweka ngono mbele inarudisha nyuma maendeleo hata walooa malaya wakutupwa kila mtu na danga lake,akili zimedumaa kufikiria ngono...mtu siku nzima anakaa anawaza kumvua chupi mtu baadala ya maarifa ya kuongeza kipato!!
Ila ndugu yangu.....Mpaka kuna kitu nimekifikiria hivi hawa wanaodanga ili wahongwe si wanatumia miili yao kupata pesa in return sasa wao wanatofauti gani na malaya au kwasababu hawasimami barabarani/kwenye mitaa ya malaya??Au ndio malaya wenye hadhi?
Maana mwanaume anakupa pesa kwasababu anataka huduma fulani kwako...