Mtu amesoma na anafanya kazi Ila ukimwambia unamtaka tayari anaanza kuimba hela ya mafuta kwenye gari yake, Mara nahitaji hela ya kusuka, Mara ooh Nina msiba wa Bibi, wanawake wamekuwa cheap ndio maana ngono imezidi siku hizi.Umesema commercial ni biashara,na wanafanya biashara hio kwaajili ya umaskini kama zilivyo nchi nyingenezo maskini .
Thailand ni nchi yenye utalii vilevile kwahio wazungu wengi huenda huko kununua malaya(kuridhisha) ham zao za ngono na vilevile kuwa in vaccay na hukohuko asilimia kubwa wanabeba ukimwi na kuurudisha makwao,thailand ni maskini ila wao ni wachapakazi mno hata wazungu wakitaka wake submissive wanawafata Thailand....ila ukimwi unaongezeko kubwa huko kwaajili ya sextrade!
Watanzania wanajibweteka na kuweka ngono mbele inarudisha nyuma maendeleo hata walooa malaya wakutupwa kila mtu na danga lake,akili zimedumaa kufikiria ngono...mtu siku nzima anakaa anawaza kumvua chupi mtu baadala ya maarifa ya kuongeza kipato!!
Hyo sio sababu, ila sikulaumu labda ndipo fikra zako zilipoishiaDah... ni uvivu tu wa kufikiri...hiyo 250k aliyoipata anajua imetoka wapi? Tunalialia hakuna mzunguko wa pesa mtaani wakati sisi wenyewe tunaugandisha uchumi. Hapo dereva kapata ajira....mpishi/waita wamepata mshahara...serikali umepata Kodi...na kikubwa kabisa naye "kachangamsha mwili"
Cha msingi abuni mbinu mpya apate 500k....aagize wapya...wawili...
Tushirikiane kuchangamsha uchumi
Biashara ya umalaya ipo dunia nzima na nchi nyingine ni ruhusa kabisa yaani ni kazi ya mtu hio so ni strictly business kuna mpaka escoters hawa malaya wenye hadhi sio wale unaowakuta stripclubs/madanguro...nchi kama amsterdam au belgium wanasimama kabisa dirishani unajichangulia...ila wenzetu wameendelea wanafanya umalaya kwa akili kwanza lazima wawe wanachekiwa afya zao na magonjwa ya zinaa kila wakati na pia wanatakiwa kutumia njia ya uzazi wa mpango na kinga(condom) kwahio wanaepuka maambukizi ya magonjwa ya zinaa(ukimwi)na hata kusamba kwa magonjwa na pia mimba siziotarajiwa so tofauti na umalaya wa nchi maskini....Au aende Roppongi Tokyo ndio ataona jinsi vidudu vinatumika balaa Ila hakuna huo umasikini. Sema mademu wa bongo wanajitegesha kuzaa hovyo, wakishalima una vihela kidogo basi anaona ndio mtaji.
Kwa wenzetu ni strictly business. Unakula Lisa's lako au muda uliolipia then unasepa na hakuna kula bila kutumia maganda.
Nayo ni sehemu ya maisha, ngono is done everywhere duniani, sio kwa watanzania peke yao! Kuna nchi zina wimbi kubwa la walevi na watumiaji wa madawa ya kulevya, still zina utajiri mkubwa tu. Binafsi sidhani kama ngono pekee huleta umasikini...Umesema commercial ni biashara,na wanafanya biashara hio kwaajili ya umaskini kama zilivyo nchi nyingenezo maskini .
Thailand ni nchi yenye utalii vilevile kwahio wazungu wengi huenda huko kununua malaya(kuridhisha) ham zao za ngono na vilevile kuwa in vaccay na hukohuko asilimia kubwa wanabeba ukimwi na kuurudisha makwao,thailand ni maskini ila wao ni wachapakazi mno hata wazungu wakitaka wake submissive wanawafata Thailand....ila ukimwi unaongezeko kubwa huko kwaajili ya sextrade!
Watanzania wanajibweteka na kuweka ngono mbele inarudisha nyuma maendeleo hata walooa malaya wakutupwa kila mtu na danga lake,akili zimedumaa kufikiria ngono...mtu siku nzima anakaa anawaza kumvua chupi mtu baadala ya maarifa ya kuongeza kipato!!
Inaangamiza zaidi kwasababu ni ngono zembe haina precautions zozote!Na imepewa kipaumbele mno kuliko mambo mengine,mtu ana mke na bado anafanya umalaya....na anaona sifaNayo ni sehemu ya maisha, ngono is done everywhere duniani, sio kwa watanzania peke yao! Kuna nchi zina wimbi kubwa la walevi na watumiaji wa madawa ya kulevya, still zina utajiri mkubwa tu. Binafsi sidhani kama ngono pekee huleta umasikini...
...."mtu ana mke na bado anaona sifa kufanya umalaya".....Inaangamiza zaidi kwasababu ni ngono zembe haina precautions zozote!Na imepewa kipaumbele mno kuliko mambo mengine,mtu ana mke na bado anafanya umalaya....na anaona sifa
Huku kwa masikini mwanamke akiona mwanaume anaona benki inatembea na mwanaume akiona mwanamke anaona starehe inatembea so quid pro quo mnakulana mbichi mtoto anazaliwa au mnapata ngoma.Biashara ya umalaya ipo dunia nzima na nchi nyingine ni ruhusa kabisa yaani ni kazi ya mtu hio so ni strictly business kuna mpaka escoters hawa malaya wenye hadhi sio wale unaowakuta stripclubs/madanguro...nchi kama amsterdam au belgium wanasimama kabisa dirishani unajichangulia...ila wenzetu wameendelea wanafanya umalaya kwa akili kwanza lazima wawe wanachekiwa afya zao na magonjwa ya zinaa kila wakati na pia wanatakiwa kutumia njia ya uzazi wa mpango na kinga(condom) kwahio wanaepuka maambukizi ya magonjwa ya zinaa(ukimwi)na hata kusamba kwa magonjwa na pia mimba siziotarajiwa so tofauti na umalaya wa nchi maskini....
Mkuu kosa la hao watu wa DINI ni nini?!!!wakulaumiwa ni Maaskofu wetu, Mashek wetu, wachungaji, Mapadri na maostadhi.
kwa ujumla vyombo vyetu vyote vya dini vimelegeza mafunzo ya uadilifu kwa waumini, matokeo yake kizazi kinaendelea kuharibika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jinsi wanaume mlivyowazoesha wanawake kuna uzi nilishafungua nikaongelea kuhusu kusaidiana majukumu na asilimia kubwa ya wanaume wakasema wanataka wahudumie waonekane vidume vya mbegu wao bila kutoa pesa wanaona kuna mapungufu sio alpha males na kumekuwa na mentality kwamba bila pesa utakuwa na shida kuwa na mwenza.So hii hoja yako inagusa pande zote wanawake kwa wanaume...na inabidi jinsia zote zibadili mindset zao!Mtu amesoma na anafanya kazi Ila ukimwambia unamtaka tayari anaanza kuimba hela ya mafuta kwenye gari yake, Mara nahitaji hela ya kusuka, Mara ooh Nina msiba wa Bibi, wanawake wamekuwa cheap ndio maana ngono imezidi siku hizi.
Pombe zinachangia, mwanamke mlevi anatoka ofisini anashinda bar analewa na kukata mauno waziwazi unatarajia wanaume tufanyaje? Tunakupandia dau mwenyewe unalegea maana ukicheki mumeo hakupi hilo dau na mwanamke na pesa ni ndugu mmoja tu.
Mwanamke akipunguza tamaa ya pesa na maisha mazuri ya kuiga au ya haraka na kutamani wanaume wenye pesa hapo tutadhibiti watoto wasio na wazazi wote wawili maana mtoto wa mzazi mmoja amekuwa grouped kwenye Sheria ya mtoto kama mtoto anayeishi mazingira hatarishi.
Wanawake fanyeni kazi muwe na kipato msiishi kutegemea mbunge zenu. Pamoja haisaidii sana maana wanawake wapo wenye kipato Ila pesa ya mwanamke huwa haitoki bado atadanga tu hawezi kukubali ajihudumie anahisi kama sio haki yake.
Sasa mnataka wanaume tufanyaje na sisi ni binadamu Tena dhaifu?? Tunajilia tu potelea pote na mpunga usiote.
Facts👍👊Huku kwa masikini mwanamke akiona mwanaume anaona benki inatembea na mwanaume akiona mwanamke anaona starehe inatembea so quid pro quo mnakulana mbichi mtoto anazaliwa au mnapata ngoma.
Na mwanamke anakubali kufanya umalaya na mtu mwenye mke Tena ndio wanatusaka kwelikweli. Usisahau hilo.Inaangamiza zaidi kwasababu ni ngono zembe haina precautions zozote!Na imepewa kipaumbele mno kuliko mambo mengine,mtu ana mke na bado anafanya umalaya....na anaona sifa
Hakika👊👊Ni jinsi wanaume mlivyowazoesha wanawake kuna uzi nilishafungua nikaongelea kuhusu kusaidiana na mjukumu na asilimia kubwa ya wanaume wakasema wanataka wahudumie waonekane vidume vya mbegu wao bila kutoa pesa wanaona kuna mapungufu sio alpha males na kumekuwa na mentality kwamba bila pesa utakuwa na shida kuwa na mwenza.So hii hoja yako inagusa pande zote wanawake kwa wanaume...na inabidi jinsia zote zibadili mindset zao!
Wanawake kukaa na mwanaume asiye na pesa namkubali kwanza wanyanyasaji sana.Ni jinsi wanaume mlivyowazoesha wanawake kuna uzi nilishafungua nikaongelea kuhusu kusaidiana na mjukumu na asilimia kubwa ya wanaume wakasema wanataka wahudumie waonekane vidume vya mbegu wao bila kutoa pesa wanaona kuna mapungufu sio alpha males na kumekuwa na mentality kwamba bila pesa utakuwa na shida kuwa na mwenza.So hii hoja yako inagusa pande zote wanawake kwa wanaume...na inabidi jinsia zote zibadili mindset zao!
Mkuu Unaongelea shule ya milioni 3 ?!!!Wanawake kukaa na mwanaume asiye na pesa namkubali kwanza wanyanyasaji sana.
Utaongea hapa Ila unajua ukweli, huwezi kukaa na mwanaume asiye na pesa hata ya kujikimu na kulipia watoto ada japo shule ya milioni tatu tu.
Hakuna mwanamke asiyependa hela ya mwanaume aisee never. Otherwise tufunge mjadala sipo tayari kubishana hili.
Mkuu viongozi wa kidini ndio walezi wakuu wa roho zetu wote.Mkuu kosa la hao watu wa DINI ni nini?!!!
Hawahubiri dhidi ya hayo kila uchao ?!!!
Hivi kazi ya kiongozi wa DINI ni kubadilisha TABIA za waumini kwa bakora?!! Kwa nguvu ?!!!
Imani inafundishwa na kulelewa....ila mleaji mkubwa ni MTU BINAFSI.....
Unyagoni/Jandoni/wazazi/walezi na kubwa DUNIA....inafundisha kila siku iendayo kwa MUNGU....
Wako wanaoacha njia hizo simply tu kwa kukosa fedha/kuwa maskini/kufukuzwa kazi....
DUNIA NI MWALIMU kwa anayetaka KUISOMA.....
Sawa mkuu.....Mkuu viongozi wa kidini ndio walezi wakuu wa roho zetu wote.
jukumu lao kubwa ni kutuongoza kimafundisho na kuhakikisha waumini wana fuata mafundisho.
zama hizi vijana wengi hawahudhurii ibada makanisani wala misikitini na huna hamasa wala msukumo hivyo inapelekea watu wengi haswa vijana kuishi mithili ya wanyama.
ndio maana nasema viongozi wetu wa dini zote wanao wajibu wa kuhakikisha maadili yetu yanarudi ktk mstari.
ngono zimekuwa kama unakunywa maji, maovu yamekithiri mno, maradhi kila kona.
viongozi wetu wa dini wanapaswa wahakikishe kwa njia yoyote ile.
Sent using Jamii Forums mobile app