Nimetoa hoja kiujumla jiongeze wapo wanaiona shule ya laki ni pesa kwao, na atakukimbilia tu kulingana na yeye Kiwango cha pesa anachoona ni kinatosha kwake.Mkuu Unaongelea shule ya milioni 3 ?!!!
Mkuu Unaongelea wanawake "middle income na higher social status" ama?!!!
Mengine nakubali kuwa baadhi ya wanawake wanatia "presha zilizozidi" maishani....
Kawaida hiyo mbona ....[emoji2960][emoji12]Mchizi wangu juzi kalipwa 250k job kama posho ya kazi flani ya nje
Kaagiza demu mpya.
Nauli 10k (ya demu kukutana na jamaa)
Vinywaji na chakula 40k
Rum 20k
Mafuta ya Kigari chake kwa ajili ya misele ya siku hio 30k
Posho kwa demu 50k
Kesho naonana nae analalamika ile hela imekata π π π
Unajlipua tu kwani nini? π πKawaida hiyo mbona ....[emoji2960][emoji12]
Mkuu uko sahihi nimekupata....Nimetoa hoja kiujumla jiongeze wapo wanaiona shule ya laki ni pesa kwao, na atakukimbilia tu kulingana na yeye Kiwango cha pesa anachoona ni kinatosha kwake.
Inategemea pia wewe mwanaume upo social class gani ambayo itawavuta wanawake wa class yako.
So kama mwanamke wa milioni tatu ataona unamfaa sababu hiyo atakukubali sababu hiyo, kama wa milioni tano au Saba akaona utasomesha mtoto FEZA atahakikisha anakunasa na hauchomoki unless uwe mjanja no strings attached.
Mwanamke takukubali kwa muonekano wako, yes, Ila bado huwa wanaangalia security especially financial, what if kesho akiumwa, je utaweza kumhudumia? Je una uwezo wa kumhudumia watoto? Utamhudumia yeye hata kama ana kazi achana na maneno yao ati simtegemei mwanaume, sisi ndio tunawalea mpaka wanajitapa.
Ndio maana muuza genge ana mademu zake, muuza dhahabu ana mademu zake, muuza magari jumla na mabilionea hivyohivyo wanahakikisha wamekutega.
Hii ya kupata mwanamke ambaye hakutegemei ni nadra sana ni kama huwa haipo tu maana ni mwanamke 1/100,000. Mwanamke atanyamaza tu Ila anataka umpe hela hata mkeo anataka umuhonge tu, so you can imagine.
Yani usipompa hela mwanamke ni shida mzee watampa wenzio wewe atakaa nawe simply mlizaa tu. Mpe kwa Kiwango chako alichokiona.
Sasa hao wa nje pia wapo the same, akiona unahudumia family yako vizuri lazima atakutega na wanaume tunamtamani haraka, ukiona Kota tayari imesimama unataka kuchovya tu na ndio tulivyo.
...kumvua mtu chupi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesema commercial ni biashara,na wanafanya biashara hio kwaajili ya umaskini kama zilivyo nchi nyingenezo maskini .
Thailand ni nchi yenye utalii vilevile kwahio wazungu wengi huenda huko kununua malaya(kuridhisha) ham zao za ngono na vilevile kuwa in vaccay na hukohuko asilimia kubwa wanabeba ukimwi na kuurudisha makwao,thailand ni maskini ila wao ni wachapakazi mno hata wazungu wakitaka wake submissive wanawafata Thailand....ila ukimwi unaongezeko kubwa huko kwaajili ya sextrade!
Watanzania wanajibweteka na kuweka ngono mbele inarudisha nyuma maendeleo hata walooa malaya wakutupwa kila mtu na danga lake,akili zimedumaa kufikiria ngono...mtu siku nzima anakaa anawaza kumvua chupi mtu baadala ya maarifa ya kuongeza kipato!!
I got you Ila Mwanamke ukimwambia ukweli mzee itakula kwako hata akiwa mkeo we endelea kumdanganya na anajua unamdanganya Ila atakaa nawe.Mkuu uko sahihi nimekupata....
Mwisho wa siku kubadilisha mentality za kiumbe mwingine ni tabu sana....haina maana kuwa hawako wanawake wanaojitahidi kuridhika....kwani pia wako wanaume ambao ni ALPHA MALES pia(wanaojitambua na kujipenda wao sana kabla ya mtu mwingine)....wako wanaume wasio desperate mahusianoni na WANAOONA THAMANI YAO na kujipenda kwa kile walichonacho....
Tukianza kujithamini wenyewe....na kuthamini kila tupatacho basi inawezekana mwanamke asisumbue...shida baadhi yetu TUNAFEKI sana maisha kuwa na hao manzi....tunafeki mpaka ndani ya ndoa....ni kweli unaweza kuwa na KIPATO KIKUBWA TU cha KUWASOMESHA watoto wote FEZA SCHOOLS ...but sometimes the life ain't straight and upside downs occur.....
Point sio kuwa na pesa ila ni kusaidiana,mkisaidiana mtaweza hata kuweka akiba kubwa na kupigwa hatua kubwa zaidi ya kimaendeleo ya kifamilia na hata kijamii....ila ili hili litendeke mfumo dume unatakiwa kudidimizwa!Najua hilo ni gumu kulibali na litachukua muda sana hatimae mabadiliko linatokana na malezi yetu na mila na desturi zetu.Ila nchi ziloendelea watu wanasaidiana wajameni humuelemei mwenzio!Wanawake kukaa na mwanaume asiye na pesa namkubali kwanza wanyanyasaji sana.
Utaongea hapa Ila unajua ukweli, huwezi kukaa na mwanaume asiye na pesa hata ya kujikimu na kulipia watoto ada japo shule ya milioni tatu tu.
Hakuna mwanamke asiyependa hela ya mwanaume aisee never. Otherwise tufunge mjadala sipo tayari kubishana hili.
...."mtu ana mke na bado anaona sifa kufanya umalaya".....
HAPA NDIPO TATIZO LILIPO.....
HAPA NDIPO UTOFAUTI UNAPATIKANA.....
Hapa ndipo ulipo ulimbukeni....
Au hazivuliwi π€£π€£π€£...kumvua mtu chupi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utoe mrejeshoJana kufukuzia mpuuzi flani tu imenigharimu 95,000 hafu kasema leo ndio tuonane. Nadhani itafika Laki 2.
huku mtaani wanakuambia yaani mali huna! hata watoto pia?Zama za sasa kumekuwa na Watoto wengi wa nje ya Ndoa, Kukithiri kwa MARADHI na hata UMASKINI.
Sababu ya haya yote ni kukithiri kwa ZINAA.
Kama unapinga pinga kwa hoja.
Unafahamu kabisa ni mpuuzi lakini huachi kumfukuzia, sijui nani mpuuzi Kati yako na yeye. Ukiamua kula raha kula bila manung'unikoJana kufukuzia mpuuzi flani tu imenigharimu 95,000 hafu kasema leo ndio tuonane. Nadhani itafika Laki 2.
Ni kweli. Ila kila jambo bila nidhamu ni wendawazimu. Uwe na mmoja, ule hayo maisha.Maisha ni kuishi,
Kula raha tu maisha yenyewe sio kitu serious kiivyo.
Sasa hapo umasikini kwa taifa umetoka wapi. Maana demu kapata 50k ataiingiza kwenye mzunguko. Muuza mafuta kapata 30k imeingia kwenye mzunguko. Wauza vinywaji wamepata 40k wameingiza kwenye mzunguko. Hivyo tukiwa na watu milioni moja wa aina ya huyo jamaa watasababisha uchumi upande ghafla kwa siku hiyo tanzania nzima. Maana wahudumu wa mabar wataripwa, mademu watajenga, wauza mafuta watapata, bodaboda hawatokatika katika biashara na mambo mengine kama hayo. Uzinzi unarudisha nyuma mhusika ila unapeleka mbele taifa. Isingekua uzinzi ma guest house yangekuwa yanauza tsh 1000 kulala usiku kucha kitu ambacho watu wasingeyajenga na kufanya miji iwe kama vijiji.Mchizi wangu juzi kalipwa 250k job kama posho ya kazi flani ya nje
Kaagiza demu mpya.
Nauli 10k (ya demu kukutana na jamaa)
Vinywaji na chakula 40k
Rum 20k
Mafuta ya Kigari chake kwa ajili ya misele ya siku hio 30k
Posho kwa demu 50k
Kesho naonana nae analalamika ile hela imekata π π π