PreGE2025 Tusikubali pesa itumike kwenye chaguzi ambazo tunajua kura zetu hazina maana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Tusikubali kama nchi wakati ambao tuna upungufu mkubwa wa pesa kwenye afya hasa wakati huu ambao USAID imefutwa tuende kutumia pesa na kufanya chaguzi ambazo tunajua kabisa ni fake.

Pesa hiyo itumike kuwasaidia wagojwa wa ukimwi ili tukoe maisha ya watu badala ya kufanya zoezi ambalo linaenda kufaidisha wachache.

Kuna ambao wanasema ni sheria na ni lazima zoezi lifanyike ! Sheria sio Msahafu na ndiyo maana wananchi ina bidi tusimame na kuamua.

Kama chaguzi tunataka kufanya basi sheria zibadilike na zile chaguzi za huru na haki.

Kama chaguzi tunaenda kwa sheria hizi na watu hawa ni bora tugomee chaguzi.

Dharau kwa viongozi imeshaanza kuonekana kwasababu watu wanajua viongozi wengi sio chaguo lao.
 
Tusikubali kama nchi wakati ambao tuna upungufu mkubwa wa pesa kwenye afya hasa wakati huu ambao USAID imefutwa tuende kutumia pesa na kufanya chaguzi ambazo tunajua kabisa ni fake. Pesa hiyo itumike kuwasaidia wagojwa wa ukimwi ili tukoe maisha ya watu badala ya kufanya zoezi ambalo linaenda kufaidisha wachache.
Kuna ambao wanasema ni sheria na ni lazima zoezi lifanyike ! Sheria sio Msahafu na ndiyo maana wananchi ina bidi tusimame na kuamua. Kama chaguzi tunataka kufanya basi sheria zibadilike na zile chaguzi za huru na haki. Kama chaguzi tunaenda kwa sheria hizi na watu hawa ni bora tugomee chaguzi. Dharau kwa viongozi imeshaanza kuonekana kwasababu watu wanajua viongozi wengi sio chaguo lao.
We km si mwehu ni zuzu
 
Fedha ya Uchaguzi ipo, na Fedha kwaajili ya kuwasaidia wagonjwa wa UKIMWI ipo pia.
Dikteta Lissu anawanyima wanachama wake haki ya kuchaguliwa.
 
Ni utaahira mkubwa sana kutumia mamia ya mabilioni ya kodi zetu kufanya igizo la uchaguzi Tanzania. Kilichotokea 2019, 2020 na 2024 ndicho hicho hicho kinakenda kutokea October 2025, sasa kwa nini hela yote itiwe kiberiti kwa kufanya igizo la uchaguzi? Ni bora waendelee tu hao hao waliopo hadi Watanzania watakapotia akili na kuwakataa kwa njia nyingine kwani kwa kura ni kujidanganya hakuna uchaguzi Tanzania. Kauli mbiu ya Chadema ya No Reform No Election ina maana pana sana kuwa bila matengenezo ya mifumo na sheria za uchaguzi hakuna uchaguzi bali kinachofanyika ni igizo tu, sasa kwa nini tutumie hela zote hizo kwa igizo?
 
He leo lisu dictator tena siyo mbowe aliyejimilikisha iliyoitwa saccos . Cdm? Kweli mwafrika mnafiki!
Haya udiktater wa lisu ni upi mkuu? Au hujui maana ya Dikteta?
 
Hii minyumbu Haina kazi ya kufanya aisee, muda wote imekaa kuongea ujinga ujinga tuuu. Mamamamae, zuieni kwanza tuone.
 
Tusikubali kama nchi wakati ambao tuna upungufu mkubwa wa pesa kwenye afya hasa wakati huu ambao USAID imefutwa tuende kutumia pesa na kufanya chaguzi ambazo tunajua kabisa ni fake. Pesa hiyo itumike kuwasaidia wagojwa wa ukimwi ili tukoe maisha ya watu badala ya kufanya zoezi ambalo linaenda kufaidisha wachache.
Kuna ambao wanasema ni sheria na ni lazima zoezi lifanyike ! Sheria sio Msahafu na ndiyo maana wananchi ina bidi tusimame na kuamua. Kama chaguzi tunataka kufanya basi sheria zibadilike na zile chaguzi za huru na haki. Kama chaguzi tunaenda kwa sheria hizi na watu hawa ni bora tugomee chaguzi. Dharau kwa viongozi imeshaanza kuonekana kwasababu watu wanajua viongozi wengi sio chaguo lao.
gentleman,
basi wachangie kidigitale wale matapeli na vibaka wa tone tone ili viongozi wapate pocket money na pesa ya kunywa wisky na nyama na kubeti kabla hawajaenda kulipia ebola na mpox kwaajili ya no reform no elections :NoGodNo:
 
Fedha ya Uchaguzi ipo, na Fedha kwaajili ya kuwasaidia wagonjwa wa UKIMWI ipo pia.
Dikteta Lissu anawanyima wanachama wake haki ya kuchaguliwa.
Hakika iliyoyaongea hayatoki moyoni.
Ni kwa vile tu umechagua kuwa mnafiki.
 
Fedha ya Uchaguzi ipo, na Fedha kwaajili ya kuwasaidia wagonjwa wa UKIMWI ipo pia.
Dikteta Lissu anawanyima wanachama wake haki ya kuchaguliwa.
Hatutaki chaguzi wa kuamuliwa viongozi na majizi ya ccm kwa kushirikiana na vyombo vya dola.
 
Tusikubali kama nchi wakati ambao tuna upungufu mkubwa wa pesa kwenye afya hasa wakati huu ambao USAID imefutwa tuende kutumia pesa na kufanya chaguzi ambazo tunajua kabisa ni fake.

Pesa hiyo itumike kuwasaidia wagojwa wa ukimwi ili tukoe maisha ya watu badala ya kufanya zoezi ambalo linaenda kufaidisha wachache.

Kuna ambao wanasema ni sheria na ni lazima zoezi lifanyike ! Sheria sio Msahafu na ndiyo maana wananchi ina bidi tusimame na kuamua.

Kama chaguzi tunataka kufanya basi sheria zibadilike na zile chaguzi za huru na haki.

Kama chaguzi tunaenda kwa sheria hizi na watu hawa ni bora tugomee chaguzi.

Dharau kwa viongozi imeshaanza kuonekana kwasababu watu wanajua viongozi wengi sio chaguo lao.
Ngoja nitafakari
 
Ni utaahira mkubwa sana kutumia mamia ya mabilioni ya kodi zetu kufanya igizo la uchaguzi Tanzania. Kilichotokea 2019, 2020 na 2024 ndicho hicho hicho kinakenda kutokea October 2025, sasa kwa nini hela yote itiwe kiberiti kwa kufanya igizo la uchaguzi? Ni bora waendelee tu hao hao waliopo hadi Watanzania watakapotia akili na kuwakataa kwa njia nyingine kwani kwa kura ni kujidanganya hakuna uchaguzi Tanzania. Kauli mbiu ya Chadema ya No Reform No Election ina maana pana sana kuwa bila matengenezo ya mifumo na sheria za uchaguzi hakuna uchaguzi bali kinachofanyika ni igizo tu, sasa kwa nini tutumie hela zote hizo kwa igizo?
Wana CCM tuko makini tunaenda kuchagua viongozi nyinyi wengine mnaruhusiwa kukaa nyumbani Kisha kulalamika kuibiwa kura.
 
Tusikubali kama nchi wakati ambao tuna upungufu mkubwa wa pesa kwenye afya hasa wakati huu ambao USAID imefutwa tuende kutumia pesa na kufanya chaguzi ambazo tunajua kabisa ni fake.

Pesa hiyo itumike kuwasaidia wagojwa wa ukimwi ili tukoe maisha ya watu badala ya kufanya zoezi ambalo linaenda kufaidisha wachache.

Kuna ambao wanasema ni sheria na ni lazima zoezi lifanyike ! Sheria sio Msahafu na ndiyo maana wananchi ina bidi tusimame na kuamua.

Kama chaguzi tunataka kufanya basi sheria zibadilike na zile chaguzi za huru na haki.

Kama chaguzi tunaenda kwa sheria hizi na watu hawa ni bora tugomee chaguzi.

Dharau kwa viongozi imeshaanza kuonekana kwasababu watu wanajua viongozi wengi sio chaguo lao.
Naunga mkono hoja, lakini kuna vikosi kazi vingi sana vinafaidika na uchahuzi je vitakubali?
 
gentleman,
basi wachangie kidigitale wale matapeli na vibaka wa tone tone ili viongozi wapate pocket money na pesa ya kunywa wisky na nyama na kubeti kabla hawajaenda kulipia ebola na mpox kwaajili ya no reform no elections :NoGodNo:

Uchawa nao ni ugojwa kama ukimwi. Nashukuru unakuja kuunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom