The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Jana Nimetoka kujiandikisha kupiga kura.
kama hakutakua na reforms za kueleweka Kura sipigi ng'o
kama hakutakua na reforms za kueleweka Kura sipigi ng'o
ImbecileWana CCM tuko makini tunaenda kuchagua viongozi nyinyi wengine mnaruhusiwa kukaa nyumbani Kisha kulalamika kuibiwa kura.
Acha ushamba Mimi naenda kusimamia uchaguzi nitakula Kodi zako unajisikiaje?Yaani nusu trilioni inaenda kuchezewa na mazuzu ya CCM yanashangilia ,pumbavu kabisa CCM.